Baadhi ya watanzania ni wajinga kupitiliza

Baadhi ya watanzania ni wajinga kupitiliza

Hii ishu ya ushoga kama wanavyoikazania wazungu kama na sisi tutawafundisha watoto wetu kuwa mvulana ni mvulana na msichana ni msichana na ni marufuku au ni dhambi kuwa na mahusianao ya jinsia moja

Yaani lifundishwe mashuleni na nyumbani na likaziwe kila wakati

Watoto wanafanya wanachoona ila kama utawatahadharisha mapema wanaweza kuogopa na kutokufanya hayo

Ila kumfundisha kwa akili wataelewa
Sasa kama tunawaangalia wazungu wamefanya nini bora tufanye yetu pia

Haya ya dawa mpaka wanasambaza waalimu walikuwa wapi?
Yule jamaa ngoja aje
 
Marketing officer wa whitedent yupo kazini apo
Hii habari athari zake ni kubwa sana,ipo siku utasikia madaktari wamepigwa na wanachi wenye hasira kali,au wamechomwa moto...kumbe chanzo ni habari kama hizi.

Kingine inadumaza juhudi za watoa elimu ya kinywa na meno,next time wakienda people they won't pay much attention kama mwanzo.
 
Vipandikizi gani,hebu nielezee mechanism of action mpaka mtu ana brush meno then instantly anakuwa shoga au msagaji...labda mimi sijui chochote.
Mimi si mjuzi wa mambo ya sayansi lakini siwezi kuzifunga fikra zangu kwenye maoni na utashi wangu bali nitaweka nafasi kwa wenzangu wenye upeo na ufahamu kunizidi ili niweze kujifunza kwao......

Ulimwengu unakwenda speed kwenye sayansi ya tiba na vyakula....unatakiwa uwe na fikra huru ili uweze kunufaika na maendeleo haya.....na fikra huru ni pamoja na kuruhusu mawazo kinzani kichwani mwako na sio kujifungia kwenye utashi wako.......

Wasi wasi wa hao watu unaweza kuwa kweli au uongo mpaka pale utakapo thibitishwa na wataalamu wa maabala na sio maoni na fikra za watu.......
 
Mimi pia ni mjuvi wa sayansi, twende kisayansi,achana na hisia na dhana.
 
Hapa hakuna aliyeweka hisia na dhana isipokuwa inatakiwa logic kabla ya hukumu......

Kama kupitia taaluma yako umethibitisha jambo hili basi ni jambo zuri.......

Ujinga unaondolewa na elimu...
Hiyo, habari yenyewe imebase kwenye "INASEMEKANA",hiyo tayari ni dhana,wewe kama umeikubali tuthibitishie how? Na sisi tunaoikataa tunasema haiwezekani na tutakuthibitishia how?

Tujibu hoja kwa hoja.
 
Do you know anything about Biology, Reproduction, Genetics, Respiration, Hormones regulations, excreation nk ?

Hicho kitu kinaweza kuwekwa katika namna rahisi ya kisayansi na kikaleta maana very simple. Lakini huna elewa na mambo mengi ya kibaiolojia ndio mana umeshindwa kuang'amua.
 
Ujinga wa hao jamaa ni upi...wewe umetumia kigezo au kipimo gani kuwaita watu wajinga.....!??

Au umetumia maabara ipi kuthibitisha maoni yako na kuhalalisha ujinga wao??

Kwani haiwezekani hiyo dawa kupandikiza hivyo vichocheo.......??

Usijifungie kwenye box la fikra zako...Dunia haishii mwisho wa mawazo yako.....

Kwa Dunia ya Sasa hayo yote yanawezekana.....
Wewe umetumia kipimo gani kusema hiyo dawa ya meno imepandikizwa hivyo “vichocheo”?!
 
Do you know anything about Biology, Reproduction, Genetics, Respiration, Hormones regulations, excreation nk ?

Hicho kitu kinaweza kuwekwa katika namna rahisi ya kisayansi na kikaleta maana very simple. Lakini huna elewa na mambo mengi ya kibaiolojia ndio mana umeshindwa kuang'amua.
Naelewa , nielezee inakuwaje
 
Watanzania wengi ni wajinga km mleta habari aluvyosema
Hii haba athari zake ni kubwa sana,ipo siku utasikia madaktari wamepigwa na wanachi wenye hasira kali...kumbe chanzo ni habari kama hizi.

Kingine inadumaza juhudi za watoa elimu ya kinywa na meno,next wakienda people they won't pay much attention kama mwanzo.
 
Hawa wapumbavu wakiongozwa na Gwajima ndio waliopinga chanjo za COVID 19 huku watoto wao wakipokea chanjo zote za misaada kwenye vituo vya afya.
Screenshot_20230331-121551.jpg
 
Back
Top Bottom