Recent content by SINGOGO

  1. S

    Walimu wawasha moto mpya,Wataka mishahara ya 900,000/-

    Kwa kutumia elimu yangu ya uchumi napendekeza yafuatayo: Serikali iboreshe maisha ya watu kupunguza madai maana watumishi wakidai nyongeza za mishahara mfumuko wa bei utakuwa juu na nyongeza nyingine itahitajika so kutakuwa na mzunguko wa kudai nyongeza za mishahara.
  2. S

    Nyerere, Mwinyi, Mkapa and Kikwete: Leadership Styles and A Lesson to Learn!

    Nitajua mwisho wa dunia ukifika maana sasa naweza sema huyu mbaya kumbe ajaye ndiyo mbaya zaidi
  3. S

    Watamzama yeye waliomsulubisha

    Ni dhaihiri kuwa madaktari sasa watakuwa wanamkumbuka sana Waziri Mkuu aliyaachia ngazi 2008 kutoka na majibu aliyowapa Pinda. Ingawa madaktari wengi kipindi kile watakuwa walifurahi Lowassa alivyosulubishwa na ile ripoti ya Richmond lakini sasa wanamkumbuka. Angekuwa Lowassa angechukua...
  4. S

    Lowassa aponda nguvu ya umma

    BOOKMARK THIS PAGE Lowassa aponda nguvu ya umma Send to a friend Tuesday, 10 January 2012 21:07 0diggsdigg Anthony Kayanda, Kigoma WAZIRI Mkuu aliyejiuzulu, Edward Lowassa, ameibuka na kukemea matumizi ya nguvu ya umma, yanayoendeshwa na baadhi ya vyama vya siasa nchini...
  5. S

    Zanzibar - Ofisi Makamu wa kwanza - pili wagongana suala la urais wa kupokezana

    Safi sana hayo ndiyo maono mazuri. Nakuombea uweze kuona na mengine.
  6. S

    Ndugai amvaa Sumaye, asema hana usafi wa kubeza posho!

    Hawa ndiyo viongozi wanaotoa majibu mepesi kwa maswali mazito, hivi kama mwenzako alikula kinyesi na wewe waweza kula.
  7. S

    Maaskofu waonya posho mpya,ufisadi

    BOOKMARK THIS PAGE Maaskofu waonya posho mpya,ufisadi Send to a friend Monday, 26 December 2011 11:47 0diggsdigg Askofu Mkuu wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT), Dk Alex Malasusa WASEMA TUSIPOKUWA MAKINI TUNAUZA UHURU WETU MAASKOFU nchini jana walitumia...
  8. S

    Prof Haroub Othman na Shivji ni wachochezi?

    Imeandikwa na Elias Msuya Mwananchi MWENYEKITI wa Kigoda cha Mwalimu Nyerere Profesa Issa Shivji amekosoa Sheria ya Mchakato wa Kuundwa kwa Katiba mpya iliyosainiwa na Rais Jakaya Kikwete hivi karibuni na kusema kuwa ni mbovu na haitazaa katiba bora. Novemba 29 mwaka huu, Rais Jakaya...
  9. S

    GE2010 Utafiti: CHADEMA 74% Igunga, kama uchaguzi ungefanyika leo

    Hofu yangu ni utafiti wa Dr. Bunsen Burner wa REDET
  10. S

    DC aendelea na kuifanyia CCM kampeni Igunga

    Nyerere alisema ukiona mtu anaongelea ukabila , udini n.k ni kufilisika kwa mawazo.
  11. S

    Hii ndiyo CV ya Dk. Hadji Hussein Mponda

    Jamani ndiyo maana jk alisema akili ya kuambiwa changanya na yako.
  12. S

    JK aapa kuwatoa kafara wala rushwa: ASEMA WAMEMCHOSHA, ATAKAYEKAMATWA ATAKUWA MFANO

    Utekelezaji mwema labda ndio tutathubutu, tutaweza na tutasonga mbele
  13. S

    Kikwete, Gadaffi na Eid

    Akichukua maamuzi mazito mnasema amekosea asipochukua maamuzi tatizo pia sasa mnataka afanyeje rais wetu?
  14. S

    Waislamu kuandamana nchi nzima kupinga speech ya mh Rais JK

    Akili ya kuambiwa changanya na yako
Back
Top Bottom