Hii ndiyo CV ya Dk. Hadji Hussein Mponda | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Hii ndiyo CV ya Dk. Hadji Hussein Mponda

Discussion in 'Jukwaa la Elimu (Education Forum)' started by JoJiPoJi, Dec 4, 2010.

 1. JoJiPoJi

  JoJiPoJi JF-Expert Member

  #1
  Dec 4, 2010
  Joined: Aug 8, 2009
  Messages: 2,458
  Likes Received: 1,331
  Trophy Points: 280
  Wadau kama kuna mtu mwenye cv ya waziri wa afya tafadhari atuwekee ili tuweze kujua, kwa kuwa kuna tetesi kuwa Mh. rais amedanganywa juu ya elimu ya huyu mh mponda
   
 2. K

  Kapwani JF-Expert Member

  #2
  Dec 4, 2010
  Joined: Nov 17, 2009
  Messages: 668
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0

  sina CV yake yote but nimjuavyo..alikuwa mfanyakazi wa Ifakara Health Institute , na ana PhD aliyoipata hivi karibuni.......kwa miaka mitatu au minne iliyopita muda mrefu alikuwa akiuutumia kwenye utafiti wake vijiji vya Mtimbira Ulanga....kama kuna mashaka yoyote ni vema kuiona institution aliyokuwa akifanyia kazi kama nilivyoianisha hapo juu ili kupata uhakika wa mambo.

  mix with yours
   
 3. JoJiPoJi

  JoJiPoJi JF-Expert Member

  #3
  Dec 7, 2010
  Joined: Aug 8, 2009
  Messages: 2,458
  Likes Received: 1,331
  Trophy Points: 280
  Nimejaribu kuitafuta kila kona sioni kama nitaipata
   
 4. J

  Jadi JF-Expert Member

  #4
  Sep 12, 2011
  Joined: Aug 2, 2011
  Messages: 1,402
  Likes Received: 408
  Trophy Points: 180
  cheki ofisi ya bunge
   
 5. S

  SINGOGO Member

  #5
  Sep 12, 2011
  Joined: May 17, 2011
  Messages: 22
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Jamani ndiyo maana jk alisema akili ya kuambiwa changanya na yako.
   
 6. mtalae72

  mtalae72 Member

  #6
  Sep 12, 2011
  Joined: Feb 4, 2011
  Messages: 92
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  Nimefanya naye Kazi. Alianza na Adv. Diploma huko Mzumbe. Nafikiri alifanya Kazi Mbeya kabla ya kuja Ifakara ambako aliajiriwa kama Social Marketing Research Officer kwenye masuala ya matumizi ya neti za kuzuia mbu wa malaria. Alifanya kazi kwa juduhi kubwa na akafanikiwa kupata scholaship ya kwenda kufanya Masters chuo kikuu cha London (School of Hygiene and Tropical Medicine). Hiki chuo kinaheshimika sana kwenye masuala ya Afya na hasa magonjwa ya kitropiki. Nafikiri alimaliza Masters yake miaka ya 2004/5. Akabahatika kupata mradi wa watu wa UNICEF kwenye masuala hayo hayo ya kusambaza neti. Akatumia zile data kufanya PhD yake kwenye chuo hicho hicho za London na aliimaliza miezi michache kabla ya Kampeni za uchaguzi nchini Tanzania. Hivyo tunaweza kusema kwamba kwenye afya ameingia kama mtafiti na siyo daktari wa binadamu. Ni mchapa kazi mazuri ila kama mwanasiasa siwezi kusema maana sikuwahi hata kusikia opinion zake kuhusu masuala ya siasa!
   
 7. Ziada Mwana

  Ziada Mwana JF-Expert Member

  #7
  Sep 12, 2011
  Joined: May 20, 2011
  Messages: 201
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Mimi nafikiri ni vyema kwa mtoa mada aeleze wasiwasi wake ni nini ili watu wampe data au wamuondolee/wamthibitishie wasiwasi wake.
   
 8. M

  Mfwatiliaji JF-Expert Member

  #8
  Sep 12, 2011
  Joined: Oct 5, 2007
  Messages: 1,325
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0
  ni dhahiri jamaa ameungaunga,..lakini bongo lolote lawezekana!!
  hivi huyu kumbe hana hata MD degree !! na watetezi msituletee habari za LSHTM hapa!
   
 9. everybody

  everybody JF-Expert Member

  #9
  Sep 12, 2011
  Joined: Oct 30, 2010
  Messages: 337
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Hivi kwani ni lazima uwe na MD ndo uwe waziri wa afya? Hapo kwenye red sijakuelewa. Kwani LSHTM ina tataizo gani?
   
 10. everybody

  everybody JF-Expert Member

  #10
  Sep 12, 2011
  Joined: Oct 30, 2010
  Messages: 337
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Ungekieleza hicho ambacho Rais amedanganywa ndo ungeweza kupata data vizuri...hapa maelezo yako yapo too general
   
 11. C

  Chacky Member

  #11
  Sep 12, 2011
  Joined: Nov 3, 2010
  Messages: 43
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  mtoa mada mwenyewe hajui anachokiuliza. Nani kakuambia Mh. Rais alidanganywa. na alidanganywa nini.
   
 12. NYENJENKURU

  NYENJENKURU JF-Expert Member

  #12
  Sep 13, 2011
  Joined: Feb 11, 2011
  Messages: 1,008
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 135
  Mbona Prof Sarungi alikuwa na MD lakini alishindwa hiyo wizara?Kitu muhimu ni utendaji kazi na ufatiliaji wa mambo ktk wizara husika unayoongoza.
   
 13. V

  Vancomycin Senior Member

  #13
  Jan 26, 2012
  Joined: Jan 7, 2011
  Messages: 171
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Dr Hadji Hussein Mponda profile.


  First Name: Dr. Hadji
  Middle Name: Hussein
  ... Last Name: Mponda
  Member Type: Constituency Member
  Constituent: Ulanga Magharibi
  Political Party: CCM
  Office Location: P.O. Box 9083, Dar Es Salaam
  Office Phone: +255 783 003 635
  Ext.:
  Office Fax:
  Office E-mail: hmponda@parliament.go.tz
  Member Status: Current Member
  Date of Birth 27 September 1958


  EDUCATIONS
  School Name/Location Course/Degree/Award Start Date End Date Level
  Manda Chini Primary School Primary Education 1967 1970 PRIMARY
  Nawenge Primary School Primary Education 1971 1973 PRIMARY
  Minaki Secondary School O-Level Education 1974 1977 SECONDARY
  Tosamaganga Secondary School A - Level Education 1978 1980 HIGH SCHOOL
  Mzumbe University Business Management 1984 1987 ADV DIPLOMA
  London Univeristy Public Health 2003 2004 MASTERS DEGREE
  Mzumbe University Material Management - GRADUATE
  London Univeristy Public Health 2007 2010 PHD


  Nimekuwa najiuliza sana kuhusu huyu waziri wa afya na jinsi anavyohandle issues za wizara yake hasa mgomo wa madaktari nikaishia kupata CV yake hii.

  Nadhani kuna haja wizara kuwa zinaongozwa na watu wenye taaluma husika pengine inaweza kusaidia kuondoa mitafaruku isiyo ya lazima na adha zinazowakumba wananchi......
   
 14. s

  shukuru bon Member

  #14
  Jan 26, 2012
  Joined: Oct 2, 2011
  Messages: 15
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  supportive mkuu
   
 15. Kinyungu

  Kinyungu JF-Expert Member

  #15
  Jan 26, 2012
  Joined: Apr 6, 2008
  Messages: 4,380
  Likes Received: 3,338
  Trophy Points: 280
  Yani JK ni mtu wa ajabu sana kule wizara ya ng'ombe,mbuzi,kondoo na samaki aka vitoweo kawapa mtu wa fani ya udaktari wa mifugo...huku kwetu sisi wanyama aina ya binadamu katupa mtu wa business management mara sijui material management na public health. Inakera sana
   
 16. Nzenzu

  Nzenzu JF-Expert Member

  #16
  Jan 26, 2012
  Joined: Aug 10, 2011
  Messages: 859
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Kume mchizi kasoma hv karibuni? So sad hana experience na management!
   
 17. B

  Baba Collins JF-Expert Member

  #17
  Jan 26, 2012
  Joined: Sep 24, 2011
  Messages: 498
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35
  Nimepata kukutana na mtu wa type ya JK ambaye pia ni conservator wa Ngorongoro,inasemekana walisoma darasa moja hawa jamaa.

  Swali langu ni je,mbona jamaa wengi sana waliosoma na Jk wana tabia zinazoendana? Au ilikuwa ni ka generation kalipita ka watu wa aina hiyo?
   
 18. M

  Marytina JF-Expert Member

  #18
  Jan 26, 2012
  Joined: Jan 20, 2011
  Messages: 7,037
  Likes Received: 44
  Trophy Points: 145
  kwa JK marytina naweza kuwa waziri wa science na tekno
   
 19. Safari_ni_Safari

  Safari_ni_Safari JF-Expert Member

  #19
  Jan 26, 2012
  Joined: Oct 5, 2007
  Messages: 22,451
  Likes Received: 5,842
  Trophy Points: 280
  inabidi tumsake mwalimu aliyewafundisha na mpishi aliyekuwa anawapikia chakula shuleni
   
 20. A

  August JF-Expert Member

  #20
  Jan 26, 2012
  Joined: Jun 18, 2007
  Messages: 4,505
  Likes Received: 723
  Trophy Points: 280
  tatizo linakuja at an individual level na sio kwamba kasoma karibuni au yeye ni dr au sio dr, maana pia ikimweka dr kuna wengine ni senior kwake kitaaluma watasemaje? ukisha fika at a degree level ni kwamba umepewa nyenzo za kuweza kuchambua mambo , so ni wewe kutumia vipaji ulivyopewa kuweza kujua jema na baya na mwelekeo wa kwenda mbele. kuna vijana unaweza kukuta shule haikupanda lakini ana busara zake na anajua jema na baya na analisimamia, mwingine poor hair distribution (PHD) na bado anakosa msimamo na kuyumbishwa kama yoyo na mashakumpeta au mwanaume au mwana mke
   
Loading...