DC aendelea na kuifanyia CCM kampeni Igunga

Ma-DC ni makada wa CCM.........kwa waliokuwa hawalijui hili...............hili liko wazi..........na hawa Ma-DC na wakuu wa Mikoa....ni factor mojawapo inayowasaidia sana CCM mikoani (hasa ile mikoa na wilaya ambaz/yo iko nyuma kimaendeleo)
 
kimsingi hali ya ccm hapa igunga ni mahututi,hata baada ya kuleta lundo la viongozi bado umma wa igunga umeonyesha dhahiri kuwa wapo tayari kwa mabadiliko
pamoja na vitisho kutoka kwa kundi haramu la green guard,ambalo nape ameliruhusu kushambulia watu bado wanaigunga wapo tayari kwa ukombozi.

tupe facts kwani tv hazirushi mikutano ya chadema
 
Hicho ni kifungu gani cha katiba? Mgombea ubunge wa Magwanda wa Igunga ni Mratibu elimu! Au hiyo nafasi ni ya serikali magwanda?

HOVYO KABISA!!!!

mail
 
Hicho ni kifungu gani cha katiba? Mgombea ubunge wa Magwanda wa Igunga ni Mratibu elimu! Au hiyo nafasi ni ya serikali magwanda?

Mkuu,
Nilidhani ni mtu mzima na unaakili za kutosha kumbe huna kitu huko kichwani. Nashawishika kusema hata masaburi unayotumia are like empty vaccum! Ndio maana ukakurupuka kuzungumzia katiba usiyoijua sasa umerudi na lingine!
Mgombea wa cdm, kama alivyo wa ccm kwasasa hawatumikii serikali kwakuwa wameomba likizo zisizo za malipo! Huyo dc wa igunga yupo likizo?
Kweli shule za kata zimetuharibia sana vijana! Mnakurupuka tu usingizini na kujibu hoja za msingi. Poor U!
 
Siungi mkono hoja kuchoma watu kisha wafe eti sababu DC anaifanyia kampeni CCM, nielewacho mimi CCM maji yamefika shingoni sasa wanajitahidi kwa udi na uvumba kuliokoa jahazi ambalo linaelekea kuzama.
Siasa si uadui kama unavyofikiri, hebu fikiria kama ndugu yako mmoja yupo katika kampeni ya DC kisha akaja mtu akachoma moto kisha akafa kwa minajili ya siasa uchwara hasa za chuki.
Kinachotakiwa CDM ni kuongeza nguvu kuwaelimisha wapiga kura waachane na uongo huo wa CCM kuwa amevuliwa hijabu. Mtu anayejisitiri hijabu na AJISITI VYOTE.

Hapo kwenye kijani mpauko, hata kama itatokea ndugu yangu kuwepo kwenye kampeni za dc hawezi kufa kwani anajua hatari ya anachokifanya na atakuwa kachukua tahadhari zote hawezi kufa kifo cha kijinga na cha uzembe kiasi hiko. Wasiwasi wangu mkubwa ni kwa dc na ccm wanajua hatari ya haya wanayo yafanya wamechukua tahadhari? sina hakika.

Hapo kwenye nyekundu kolea siasa za ccm na serekali yake wanavyoziendesha ni za uadui na chuki zote kwa yeyote yule ambaye hawaungi mkono iwe ndani ya makundi ya chama chenyewe au kwa wapinzani wao wa nje ya chama (na hapa naomba nieleweke si maanishi wake zao cuf) sasa sijui unataka kumdanganya nani hapa jamvini?
 
Katiba ya nchi haimkatazi mkuu wa wilaya kushabikia na hata kuwa mwanachama wa chama chochote cha kisiasa. Tatizo wengi wenu magwanda ni wavivu wa kusoma.
Ni vyombo vya ulinzi na usalama tu ndiyo hawaruhusuriwi kuwa wanachama wa chama chochote, lakini wengine hawafungwi na katiba. Ndiyo maana katibu mkuu wa CCM wa sasa alikuwa katibu mkuu wa wizara gani sijui lakini akachaguliwa kuwa katibu mkuu wa chama. Kama angekuwa haruhusiwi basi ingebidi ajiunge na chama ndiyo achaguliwe.

Katiba ya nchi ipi?? kama ni ya TZ je ni ibara ya ngapi unaizungumzia??
Ibara sipo specific ni ibara ya ngapi lakini hilo nalijua vizuri kuwz ni vyombo vya ulinzi na usalama tu

Mkuu nadhani unazungumzia katiba ya saccos ya mtaani kwenu na si katiba ya nchi! Katiba ya nchi inawakataza watendaji wote wa serikali kujishughulisha na shughuli za vyama vya siasa. Nadhani ni heri hao wavivu kufikiri kuliko wewe unayefikiri kwa kutumia masaburi!
Filipo mkuu fanya research katika hili kuliko kuishia kulaumu.
 
Akamatwe tena kama bado haelewi sheria za nchi.Alipewa U-DC kirafiki na haelewi cha kufanya
 
Jamani labda anafikiri wakishinda tu uchaguzi mkuu wa kaya atamteuwa kuwa mkuu wa mkoa wa mikoa mipya iliyo baki.
 
Mhe Tundu Lissu,

tunaomba mswada bungeni kwa ajili ya kuwaengua kazini mara moja watuishi wa umma kama vile RC, DC, Katibu Kata, Balozi wa Nyumba Kumi yeyote anayekiuka miiko ya utumishi wa ofisi zao na badala yake kuendekeza siasa; IMPEACHMENT BILL.

Hawa ma-kada wa CCM wasijifiche kwenye ofisi zetu hizi badala yake watafute vyeo vya kugombe kikatiba.

Tangu sakata la kukamatwa kwa DC wa Igunga akihalifu sheria chama ca CCM kimekuwa kikifanya propaganda chafu sana,ya UDINI hapa Igunga mjini,jana wilayani Uyui Dc huyu alitoa laki moja hadharani na kulia machozi,huku akiwahamasisha waislama kuandamana kuipinga chadema et alivuliwa HIJAB.Huu ni mkakati mchafu wa ccm,na ni uwendawazimu,kimsingi chadema hatukumkamata huyu DC kwa dini yake,au rangi ya chama chake.tulimkamata kwa kuwa alihalifu sheria,na nguvu iliyotumika kumkamata inakubalika kisheria.
Dc huyu anaendela kuifanyia ccm kampeni,na usiku wa jana alikuwa n a wakinamama(wanawake)kwenye jengo la serikali anakoishi,anatumia kodi za wananchi kuifanyia ccm kampeni.
 
Mkuu,
Nilidhani ni mtu mzima na unaakili za kutosha kumbe huna kitu huko kichwani. Nashawishika kusema hata masaburi unayotumia are like empty vaccum! Ndio maana ukakurupuka kuzungumzia katiba usiyoijua sasa umerudi na lingine!
Mgombea wa cdm, kama alivyo wa ccm kwasasa hawatumikii serikali kwakuwa wameomba likizo zisizo za malipo! Huyo dc wa igunga yupo likizo?
Kweli shule za kata zimetuharibia sana vijana! Mnakurupuka tu usingizini na kujibu hoja za msingi. Poor U!

Acha kubwabwaja kama kuku wa mayai wewe. Hao wameacha kazi kwa muda ili wapate nafasi ya kufanya kampeni zao lakini sheria ya nchi haimkatazi mtumishi wa serikali kujihusisha na siasa. Mfano mdogo huu utakusaidia kuondokana na utapiamlo wa mawazo; mawaziri wote ni watumishi wa serikali na wakati huo huo ni wanachama wa CCM. Tumia akili yako ikuzoee masaburi wewe.
 
Hapana wamestaafu utumishi kabisa kurudi ni kwa maombi ya kazi upya na kama kunahaja ya kuwa na wewe. Lakini DC ni mtumishi wa umma ambaye pia ni mwanasiasa, na ofisi yake inaendeshwa na kodi ya watanzania wote kwa hiyo kama hajachukua likizo na anaendelea kufanya kazi ambazo zinakinufaisha chama chake that can compelled to protest. N mbele ya sheria pakiwepo na ushahidi wa kumimplicate na kwa madaraka yake katika wilaya na kama jombo alilofanyia ushabiki wa kisiasa lipo katika wilaya yake inatosha kabisa kusababisha kutenguliwa kwa matokeo. Ndiyo maana anafanya kwa kificho.
 
Tatizo la kazi/vyeo vya kuteuliwa hivi. wakati wote mtu anajidhania anatakiwa kulipa fadhila za kuteuliwa kwa kuegemea chama la aliyemteua hata kama anaenda kinyume. CDM chukueni vielelezo fikisheni kunakohusika mapema, tumieni njia stahili kumuumbua DC huyo
 
Hicho ni kifungu gani cha katiba? Mgombea ubunge wa Magwanda wa Igunga ni Mratibu elimu! Au hiyo nafasi ni ya serikali magwanda?

mbona serikali yenyewe ilipotezea rufaa ya wana CUF, au waliogopa Kafumu naye kupigwa chini tehe tehe.....
 
Hapana wamestaafu utumishi kabisa kurudi ni kwa maombi ya kazi upya na kama kunahaja ya kuwa na wewe. Lakini DC ni mtumishi wa umma ambaye pia ni mwanasiasa, na ofisi yake inaendeshwa na kodi ya watanzania wote kwa hiyo kama hajachukua likizo na anaendelea kufanya kazi ambazo zinakinufaisha chama chake that can compelled to protest. N mbele ya sheria pakiwepo na ushahidi wa kumimplicate na kwa madaraka yake katika wilaya na kama jombo alilofanyia ushabiki wa kisiasa lipo katika wilaya yake inatosha kabisa kusababisha kutenguliwa kwa matokeo. Ndiyo maana anafanya kwa kificho.

Kama unchukua kwa mtazamo huo eti hairuhusiwi kufanya kitu kwa faida ya chama basi nadhani kila mtumishi wa umma atapelekwa mahakamani. Unawezaje kutofautisha kazi yenye faida au isiyo na faida kwa chama kwenye nchi ambayo chama kinaongoza serikali. Manifesto ya CCM ndiyo inayoongoza serikali na ndiyo hiyohiyo inayotelekezwa na watumishi wote wa serikali.
 
so cheap! Yaani CCM wanavyowatumia hawa ndugu zetu hata condom haifai...! na kama kweli waislam wakiamua kuichagua CCM Igunga kwa sababu ya hili la HIJAB pamoja na kutapeliwa kwenye mahakama ya kadhi basi nitawaona kweli ni majuha yaliyoshindikana....kinachonichanganya zaidi ni waislam kuwatapeli waislam wenzao lakini at the end of the day utasikia muovu ni kanisa/chadema/wakriistu!!
kweli waislam ni sikio la kufa,yaani mahakama ya kadhi ni juzi tu hata mwezi bado wameshaanzwa tena kugeuzwwa majuha,kweli uislaam mtaji mzuri wa kura ccm, natusisikie mlalamike tena
 
Back
Top Bottom