MwanaCBE
JF-Expert Member
- Sep 23, 2009
- 1,771
- 804
Ndugu zangu nimekuwa nikiwaza sana juu ya Kikwete kuhutubia katika msikiti wa Gadaffi mjini Dodoma siku ya Eid bila kuongea lolote juu ya Gadaffi. Najiuliza sana kulikoni!!? Msikiti umejengwa kwa pesa za Gadafi lakini katika madhila yalomkuta rais haoni hata haja ya kumtaja walau kwa shukrani ndani ya huo msikiti!!?? Na la zaidi ni ile hotuba yake ilivyowashughulikia waislam wenzake bila haya.!! Hivi msimamo wa Jk kiimani ukoje!!?