Nashauri Dr Slaa atembelee vyombo vyote vya habari

gubegubekubwa

JF-Expert Member
Jun 9, 2008
637
814
wandugu wa jf mambo vipi!,nashauri Dr Slaa atembelee vyombo vyote vya habafi si unajua Nape kapita kote huko kamwaka ugali sasa na Dr apite huko akamwage mboga,mpaka tuheshimiane!
 
Kwanini atembelee? Kuna haja Gani? Kitu kinahitajiwa ni kuwa na Hoja ambazo wananchi wanazikubali na sio kutembelea Vyombo Vya Habari

Kama inahitajika, kuwa na Chombo Chenu Cha Habari...

Hatuna habari bora za kuweka hapa kwenye Jukwaa la Siasa???
 
Matendo,tazama matendo utamtambua tuuuu!!!!, ya kazi gani kwenda kwenye vyombo vya habari? chema chajiuza
 
Back
Top Bottom