Chuma Chakavu
JF-Expert Member
- Apr 16, 2011
- 1,523
- 653
nani aliyeingizwa mkenge? sio nyie mlioahidiwa mahakama ya kadhi na sasa tartiiiibu serikali ya ccm inajitoa, alichosema jk hakina tafsiri nyingine zaidi ya alichozungumza na ukumbuke rais hawezi kudanganya taifa kirahisi hivyo, we jiridhishe kwa porojo zako lakini ujue HABARI NDO HIYO! werra werrrraaaaa...Mnafiki ni wewe na wenzio humu JF walipouwawa ndugu zenu Arusha mlipiga kelele sana humu jamvini ila walipouwawa watanzania wenzetu kule Pemba, Unguja, Mwembechai hamkusema kitu. Tunawajua nyie ni wanafiki na JK kawaingiza kingi jana kwa hotuba yake nyote mmejaa na kujulikana rangi zenu kamili za udini wadini wakubwa!!!!!