Recent content by Sim Card

  1. Sim Card

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kuna tatizo kuoa mwanamke mwenye mtoto?

    Wengi hufikiri kuoa mwanamke mwenye mtoto ni rahisi kivile sio kabisa. 1. Watoto baada ya 18 yrs bado kama baba utawajibika kuwaendeleza maana ni wa kufikia tena waweza kuwa babu wakufikia ukicheza. 2. Kuwalea hasa kunidhamu yaweza kuwa tabu kwani watoto wa namna hii huamini kila kitu wanaonewa...
  2. Sim Card

    JamiiForums Tanzania Athari za kutoa masega kwenye gari (catalytic converter)

    Umenena kitaalamu je ni wangapi wanafahamu haya kwa huku kwetu??
  3. Sim Card

    JamiiForums Tanzania Mnadhibiti vipi wizi katika ujenzi?

    Njia nyingine huwa naiona inasaidia ni kumchukua fundi wa mbali na hapo peleleza mafundi wasiofahamu kabisa mazingira hayo wala hawana connection yeyote na hapo ongeza usimamizi
  4. Sim Card

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Siri ya pipi kifua kwenye mapenzi ya unyonyaji

    Mai godi
  5. Sim Card

    JamiiForums Tanzania Govi Lamuokoa Asiende Jela

    Govi likisimama barabara ni sawa na mtu aliyetahiriwa kwa hiyo inawezekana binti hakuelewa hasa kama ni usiku.
  6. Sim Card

    JamiiForums Tanzania Habari picha: Makamu wa Rais na Waziri Mkuu wakutana na kufanya mazungumzo

    Tutegemee nati zikazwe barabara
  7. Sim Card

    JamiiForums Tanzania Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    [emoji15]
  8. Sim Card

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Je, kitaalamu imekaaje?

    Nchi hii ina vijana watata sana
  9. Sim Card

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Udhaifu gani wa mwenza wako umeamua kukubaliana nao na kuendelea na mahusiano?

    Kushuzi wakati mmejifunika aisee hii navumilia japo inakera sana
  10. Sim Card

    JamiiForums Tanzania DED wa Gairo na wenzake warudisha mabati waliyoiba

    Kichwa hakina habari
  11. Sim Card

    JamiiForums Tanzania Naomba kujuzwa ubora na changamoto za Gari aina ya Toyota Pixis Epoch

    Ni passo iliyochangamka hii. Nnau hakika spea zipo tukipata wamiliki kadhaa.
  12. Sim Card

    JamiiForums Tanzania Kiwanda cha ceiling boards cha tanzania kipo wapi?

    Fibre Boards nane nane Njiro Arusha
  13. Sim Card

    JamiiForums Tanzania Historia ya mapenzi ya Rais wa Ufaransa, Emmanuel Macron

    Anamkira mtoto huyu
  14. Sim Card

    JamiiForums Tanzania Ukifa leo nani atatoa taarifa zako hapa JF?

    Swali fikirishi..Kwani kuna zaidi kipi mtu kujua mjeif fulani amefariki?? Kuna rambirambi yeyote inayopata familia ya mwendazake?? au tu ni taarifa fulani ka rip. Kama baadhi yetu tumekutana JF bila kujuana basi na wakati ukifika tuondoke kimya kimya. Japo kwa wanaofahamiana ni vizuri kujua.
Back
Top Bottom