Je, kitaalamu imekaaje?

Ritchy Breezy

JF-Expert Member
Dec 9, 2020
391
579
Habari wana JF

Nina changamoto moja katika via vyangu vya uzazi, uume wangu ni mdogo sana unakua ka wa mtoto hasa kukiwa na baridi au nkitoka kuoga ila ukisimama unakuwa vizuri tu nilishaga wahi kuupima siku 1 nikapata inchi 6.2 urefu.

Changamoto inakuja pale napokua na bibie halafu aombe tuende bafuni wote kuoga naona so sana kutokana na hali ya uume wangu kuwa mdogo sana ukiwa umelala hasa kukiwa na baridi au kuguswa na kitu cha baridi hasa maji.

Kwa anayefahamu kitaalamu hii imekaaje wakurungwa
 
Sasa mkuu hili nalo ni tatizo? Mbona kawaida sana hii, hukusoma mambo ya kutanuka na kusinyaa kwa misuli (contrast & relaxation of the muscles) bioz form three nadhani. Sasa mkeyenge ni mojawapo ya misuli hiyo tuliyosoma japokua wenyewe imejengwa na misuli mingine midogo midogo..

Afu kuna watu huwa wakisimamisha na wakiwa normal haionyeshi tofauti sana ukubwa unakua kama uleule ila kuna wengine kama ww ikisimama ina change ukubwa/ina tanuka na ikiwa normal inapungua size..
 
Ukiendelea kujipa stress namna hiyo na huna tatizo ipo siku hutasimamisha mkuu.

Hakuna shida hapo, na kuna majuha wana hali kama yako nao wanahangaika kutafuta dawa za kurefusha mkuyenge wakati hupimwa wakati ukiwa umesimama.

Kua mkweli, mruhusu manzi yako akujue hali yako hutojuta.
 
Habari wana JF

Nina changamoto moja katika via vyangu vya uzazi, uume wangu ni mdogo sana unakua ka wa mtoto hasa kukiwa na baridi au nkitoka kuoga ila ukisimama unakuwa vizuri tu nilishaga wahi kuupima siku 1 nikapata inchi 6.2 urefu.

Changamoto inakuja pale napokua na bibie halafu aombe tuende bafuni wote kuoga naona so sana kutokana na hali ya uume wangu kuwa mdogo sana ukiwa umelala hasa kukiwa na baridi au kuguswa na kitu cha baridi hasa maji.

Kwa anayefahamu kitaalamu hii imekaaje wakurungwa
Sina ujuzi sanaaa ila niliwahi kusoma sehemu kwamba kuna aina mbili za uume yaani growers na showers

a).Growers
Hawa ni wale ambao wana uume mdogo ukiwa umelala na ukisimama unakuwa mkubwa kawaida au mkubwa zaidi.

b).
Showers
Hawa ni kinyume cha growers na huwa wana uume mkubwa ukiwa umelala na ukisisimama huwa wa kawaida au mara chache mkubwa zaidi.

sasa kwa maelezo yako upo hapo kwa Growers mkuu shukuru mungu kwa alichokupa uache kujishtukia.

n.b
ukubwa wa uume huangaliwa ukiwa umesimama
 
Wewe ni kama mimi tu hadi kuna manzi tukiwa tunaoga aliniulza, hvi haka ndo kalikokuwa kananiumiza? Nikajibu ile nimeiacha uvunguni.
 
  • Kicheko
Reactions: etb
Wee mpe show ya kutosha mkienda kuoga huo udogo hatouona, bali akiangalia atakuwa anaiona kama K47
 
Back
Top Bottom