Govi Lamuokoa Asiende Jela

Butongwa John vs Republic (Criminal Appeal No.450 of 2017) [2021] TZCA 415; (26 August 2021)​

Binti wa umri wa miaka 17, anasema siku moja alitumwa dukani na baba yake ili akanunue madaftari ya shule, akiwa njiani kurudi nyumbani Binti akakutana na Bwana Butongwa ambaye alipora daftari zake, binti akaanza kudai daftari zake mpaka usiku ulipoingia, Butongwa akamchukua binti
na kwenda kuishi nae mbali kidogo kwa wiki tano (5).

Binti anasena akiwa anaishi na Butongwa walikuwa wakilala pamoja na kufanya mapenzi kama mume na mke.

Ndipo walipokuwa Mahakamani Butongwa alimuuliza swali binti kwamba "kama kweli unanijua vizuri, je mimi
nimetahiriwa au sijatahiriwa? Binti akajibu "umetahiriwa".

Basi bwana Butongwa akaonesha uume wake Mahakamani na kusema yeye "ana govi yaani hajatahiriwa"

Suala hilo limefanya Mahakamani ya Rufani kutilia shaka ushahidi wa binti na kuamua kumuachia huru bwana Butongwa aliyekuwa ameshitakiwa kwa kosa la kubaka, kuteka na kuoa mwanafunzi.

View attachment 1940625
Kuna namna hapo!
Kuna uwezekano binti alikuwa hajui maana ya maneno ya kutahiriwa au kutotahiriwa!
 
🤣🤣🤣🤣🤣🤣

Butongwa John vs Republic (Criminal Appeal No.450 of 2017) [2021] TZCA 415; (26 August 2021)

Binti wa umri wa miaka 17, anasema siku moja alitumwa dukani na baba yake ili akanunue madaftari ya shule, akiwa njiani kurudi nyumbani Binti akakutana na Bwana Butongwa ambaye alipora daftari zake, binti akaanza kudai daftari zake mpaka usiku ulipoingia, Butongwa akamchukua binti
na kwenda kuishi nae mbali kidogo kwa wiki tano (5).

Binti anasena akiwa anaishi na Butongwa walikuwa wakilala pamoja na kufanya mapenzi kama mume na mke.

Ndipo walipokuwa Mahakamani Butongwa alimuuliza swali binti kwamba "kama kweli unanijua vizuri, je mimi
nimetahiriwa au sijatahiriwa? Binti akajibu "umetahiriwa".

Basi bwana Butongwa akaonesha uume wake Mahakamani na kusema yeye "ana govi yaani hajatahiriwa"

Suala hilo limefanya Mahakamani ya Rufani kutilia shaka ushahidi wa binti na kuamua kumuachia huru bwana Butongwa aliyekuwa ameshitakiwa kwa kosa la kubaka, kuteka na kuoa mwanafunzi.

View attachment 1940625
 
Butongwa John vs Republic (Criminal Appeal No.450 of 2017) [2021] TZCA 415; (26 August 2021)​

Binti wa umri wa miaka 17, anasema siku moja alitumwa dukani na baba yake ili akanunue madaftari ya shule, akiwa njiani kurudi nyumbani Binti akakutana na Bwana Butongwa ambaye alipora daftari zake, binti akaanza kudai daftari zake mpaka usiku ulipoingia, Butongwa akamchukua binti
na kwenda kuishi nae mbali kidogo kwa wiki tano (5).

Binti anasena akiwa anaishi na Butongwa walikuwa wakilala pamoja na kufanya mapenzi kama mume na mke.

Ndipo walipokuwa Mahakamani Butongwa alimuuliza swali binti kwamba "kama kweli unanijua vizuri, je mimi
nimetahiriwa au sijatahiriwa? Binti akajibu "umetahiriwa".

Basi bwana Butongwa akaonesha uume wake Mahakamani na kusema yeye "ana govi yaani hajatahiriwa"

Suala hilo limefanya Mahakamani ya Rufani kutilia shaka ushahidi wa binti na kuamua kumuachia huru bwana Butongwa aliyekuwa ameshitakiwa kwa kosa la kubaka, kuteka na kuoa mwanafunzi.

View attachment 1940625
Binti hakuwa makini na matukio
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom