Recent content by seniorgeek

  1. seniorgeek

    JamiiForums Tanzania Orodha mpya ya wana HIP HOP wanaoongoza kwa utajiri 2018

    Kina 50 Cent wana mpaka movie production company zinazojulikana, huyu sijasikiaga investment yake yoyote isipokua Shady records ambayo kwa sasa nayo ni kama iko kwenye hibernation.
  2. seniorgeek

    JamiiForums Tanzania Orodha mpya ya wana HIP HOP wanaoongoza kwa utajiri 2018

    Eminem kafanya nini mpaka awe wa tano?
  3. seniorgeek

    JamiiForums Tanzania Kwa wale wa Kusini Lindi Mtwara, wenyewe wanaita ming'oko.

    Oi Jombii, Sidhani kama hiyo ni mkogoraa. Naona inatupiwa na kitu cha chumvi na pilipili.
  4. seniorgeek

    JamiiForums Tanzania Nasita kuikubali hii ofa ya Mwananchi Communications!

    Usije ukahama Chugga Jombii. Hiyo tofauti ya mshahara ni ndogo sana kukufanya uhame mahali poa kama Arusha.
  5. seniorgeek

    JamiiForums Tanzania Hivi unaweza kuoa Dada na Mdogo wake anayemfuata?

    Ukiweza kufanya hilo, hakika utakua umeitendea ID yako Haki.
  6. seniorgeek

    JamiiForums Tanzania Washitakiwa watatu wa TRA wanaohusika na utoroshaji makontena wapewa dhamana

    Kumbe kuna mazimba wana sura kama wanywa banana. Kweli chapaa hainunui kila kitu.
  7. seniorgeek

    JamiiForums Tanzania Do not eat too much

    My nature of work requires me to use a lot of energy (i.e Tanzanite mining, and we still do it the old fashioned way). I also do body building as a hobby, to enhance my work and also for defense in these dangerous working conditions. All this requires me to consume huge amounts of liquids...
  8. seniorgeek

    JamiiForums Tanzania Arusha: Monaban Kuvunja Chungu kwa waliokula unga

    Duu! Naona sasa mnanza kumfanya dingi wa watu aonekane kawa comedian. Mshampiga chini kwa aibu, mwacheni auguze maumivu.
  9. seniorgeek

    JamiiForums Tanzania Maafa ya mvua Dar leo Disemba 15, 2015

    Kuwa maskini Dar-slums nishida. Bora kubanana huku huku milimani tuu.
  10. seniorgeek

    JamiiForums Tanzania Mkurugenzi Mkuu AICC Bwana Elishilia D Kaaya na maamuzi mabovu

    Mimi nilisikia wanataka kujenga shopping mall ambayo kwangu mimi nadhani ilikua wazo zuri kwani Arusha ina uhaba wa malls. Na pia ingekua good return on investment. Matokeo yake siku zinakwenda, zile barabara za shortcut zilizokua zinapunguza jam wamezifunga na mazingira yamekaa ka dampo la...
  11. seniorgeek

    JamiiForums Tanzania Wenzangu mnatumia mbinu gani ktk Maisha? Msaada wenu tafadhali!!

    Huna starehe ndio maana hujitumi vya kutosha. Ingekua unakula bata, ungeparangana mbaya kuhakikisha kwako kila siku ni sherehe.
  12. seniorgeek

    JamiiForums Tanzania Wengi Wameelewa

    Huo udongo kama wa Moshi vile.
  13. seniorgeek

    JamiiForums Tanzania Solar za Mobisol vs solar za madukani

    Mobisol wanayo warranty ya zaidi ya miaka kumi. Pia wanakufanyia installation bure. Pia kama sikosei ni kuwa unaweza lipa kwa installments. Na ukitaka ku upgrade mbeleni ni rahisi.
Back
Top Bottom