Solar za Mobisol vs solar za madukani

Solar za Mobisol vs solar za madukani

Mulangila Mukuru

JF-Expert Member
Joined
Feb 24, 2010
Posts
1,945
Reaction score
729
Wadau naomba kwa mwenye uzoefu juu ya hizi solar zinazouzwa na kampuni ya mobisol na hizi za madukani ni zipi nzuri kwa wenye uzoefu nazo? maana ukilinganisha bei ya dukani na hizi za mobisol hawa mobisol bei zao zipo juu sana ila suala la ubora ndo sijalijua naomba ufafanuzi plz....
 
Mobisol wako njema wana mpaka warranty hawa wajerumani
 
tatizo lao wanakulazimisha kununua tv hata kama haukuwa na shida nayo
 
tatizo lao wanakulazimisha kununua tv hata kama haukuwa na shida nayo

Mobisol wanauza package full ambazo zinakupatia umeme (hawauzi kitu kimoja kimoja) kwahio unanunua kama package, ni sawa ungesema tatizo vifurushi vya simu wanakulazimisha kununua sms... (wakati hizo sms zinakuja na bundle).

Sina uhakika nadhani kuna package ndogo ambayo haina TV.
 
Mobisol wanayo warranty ya zaidi ya miaka kumi.
Pia wanakufanyia installation bure.
Pia kama sikosei ni kuwa unaweza lipa kwa installments.
Na ukitaka ku upgrade mbeleni ni rahisi.
 
Mobisol wanapatikana mikoa ya kaskazini na kinda ya ziwa wanauza solar package za ukubwa tofautitofauti kuanzia watt 80 mpk watt 200
pia wanakopesha solar waweza kusikia mpk miaka mitatu pia wanatoa warrant ya vifaa vyao
 
Mobi soli wako vizurriiiiii sanaaa wakiendelea ivviii watakuwa na upizani na tanesco
 
Mobi soli wako vizurriiiiii sanaaa wakiendelea ivviii watakuwa na upizani na tanesco
Source ya solar power kutoka ktk jua haiwezi kubet na Tanesco ambayo power yao ni continuously Kuna maeneo hakuna jua la kutosha Cha kusema tu ni kuwa tanesco wawe chojo hawatapoteza customers ila watu wata prefer mifumo miwili ya umeme solar na tanesco kufanya uhakika wa umeme
 
Mobisol wanapatikana mikoa ya kaskazini na kinda ya ziwa wanauza solar package za ukubwa tofautitofauti kuanzia watt 80 mpk watt 200
pia wanakopesha solar waweza kusikia mpk miaka mitatu pia wanatoa warrant ya vifaa vyao

Kanda ya ziwa mikoa gan
 
Wakuu zinapatikana wapi na bei zake. Shukrani
 
Back
Top Bottom