Kwa wale wa Kusini Lindi Mtwara, wenyewe wanaita ming'oko.

6a15dedb805caf850456bf465f55cd90.jpg
Tatizo huwa hazishibishi
 
Kuna siku nilikuwa na safar ya kwenda Mtwara sasa njian wenzangu wananunua sana karibu abiria wote namim nikaona hapana hii itakuwa mizur acha ninunue weeeeee ile kupeleka mdomon nilihis kichefuchefu sana bas nikavunga nikameza lakin sikurudia tena kupeleka mdomon.

Baada ya kufika Mtwara nikapewa wao wanaita upupu kama maharagwe hivi na wanasifia sana ile kula tu yaan nilitapika hapo hapo hapa nilishindwa kujizuia kabisa.
Hiv vyakula vya kikanda vina shida sana ktk kuvizoea
 
Nilipofika Ntwala kucheleee kwa Mara ya kwanza nilishangaa sana baada ya kuona hiyo kitu aisee
 
Back
Top Bottom