Maafa ya mvua Dar leo Disemba 15, 2015

Maafa ya mvua Dar leo Disemba 15, 2015

hatari...nimezingirwa namaji mpaka saa 3 asbh, ndio nimekuwa salama
 
Kwani hawa watu wa Dar wana shida gani, wanajidekeza kama kuku wa kisasa, mvua kidogo tu wanadi kuna mafuriko, kijana akipita mmoja amevaa mlegezo wanakimbia eti panya road wanakuja !! Nyie watu vipi, ifike mahali muwe watu wazima sio kila wakati kudeka tu.

teh teh teh...yani hivyo vi maji havifiki hata magotini eti maafa.. Watu wa Dar wana mambo ya kipuuzi sana,,, wanadeka deka hovyo
 
Kila kipindi cha mvua ni kulalamika ...kikipita kimyaa mpaka kipindi kingine cha mvua.
 
Kuwa maskini Dar-slums nishida.
Bora kubanana huku huku milimani tuu.
 
Kwani hawa watu wa Dar wana shida gani, wanajidekeza kama kuku wa kisasa, mvua kidogo tu wanadi kuna mafuriko, kijana akipita mmoja amevaa mlegezo wanakimbia eti panya road wanakuja !! Nyie watu vipi, ifike mahali muwe watu wazima sio kila wakati kudeka tu.

hivi hawa wa dar na wale wanafanya wake zao wavuke boda nani lofa?au hawa wa dar na wale wanaojisifu wana nguvu huku wakikimbizwa na kajamaa kamoja kameshika kibastola nani lofa?
 
Maamuzi magumu yafanyike. Kwanza iangaliwe kama kuna uwezekano wa kuboresha miundo mbinu kama kuchimba mifereji mikubwa ya mvua au hata kujaza vifusi! Ieleweke kwamba kadiri nyumba nyingi zinavyojengwa ndivyo maji yanayotitirika( water surface runoff ) yanavyoongezeka. Hivyo ondokeni nendeni maeneo yaliyoinuka. Heri kupigana vita moja kubwa ukaishinda kuliko vita ndogo ndogo za kila mwaka.
 
poleni sana wana wa mji wa Dar. Hivi kwani tarehe 9 Dec hamkizibua mitaro mpaka mpate mafuriko au barabara za JPM zilikosa viwango vya mitaro sahihi
 
Kwetu Mbezi juu shida ya mafuriko hatujui kabisaa! huko Tegeta sijui muda huu niaje
 
Maafa je wamekufa wangapi kutokana na mvua hizo?
 
hivi hawa wa dar na wale wanafanya wake zao wavuke boda nani lofa?au hawa wa dar na wale wanaojisifu wana nguvu huku wakikimbizwa na kajamaa kamoja kameshika kibastola nani lofa?
Hawa wa Dar wamezidi maana wanawakimbia panya road na kuacha wake na watoto wao !!
 
lakini mkuu hawa mpka watoto wamepata vipi wale waliovuka boda sio kwamba wanalea vitoto vya kikuyu,nawaza tu.
 
Kwani hawa watu wa Dar wana shida gani, wanajidekeza kama kuku wa kisasa, mvua kidogo tu wanadi kuna mafuriko, kijana akipita mmoja amevaa mlegezo wanakimbia eti panya road wanakuja !! Nyie watu vipi, ifike mahali muwe watu wazima sio kila wakati kudeka tu.

Tatizo lako hata dar hujawahi fika unapaona kwenye runinga tuu.. Nenda ofisi za fastjet hapo mkoani nishakufanyia mpango wa ticket uje dah ushangae shangae magorofa kidogo
 
Ofisi za Fastjet huku Japan ziko kwenye Prefecture ipi ? Mimi niko Okinawa Prefecture, naomba unielekeze niende.
 
Kataga wapi?? Tegeta? Atakuwa amepona kweli? Nanilii.... yani yule nanilii...
 
Back
Top Bottom