Kilichotokea Dodoma katika Mkutano wa Kamati Kuu na NEC ya CCM kimethibitisha mambo matatu ambayo wataalam wamekuwa wakiyahofia kwa muda mrefu: (1) Kwamba CCM haiwezi kulinda maslahi ya taifa bali kimegeuka kuwa chama kinachotumiwa na watu wachache kwa manufaa yao binafsi. Mafisadi, wauza unga...
Madudu yaliyofanywa na hao mamluki wa akina Rostam na Lowassa Dodoma yanatusaidia sana sisi tunaopigania UHURU wa kweli. Wao wanadhani sisi Watanzania bado tumelala usingizi. Tunafuatilia hatua kwa hatua kila wanachokifanya mafisadi hawa. Wanatumia pesa walizotuibia kuwahonga MAFALA waliopo NEC...
Wataalamu wanasema virusi vya ugonjwa huu kwa mara ya kwanza vilikutwa kwenye nguruwe, na ndio maana ugonjwa ukaitwa 'swine flu'. Hata hivyo binadamu hawezi kuupata ugonjwa huu kutoka kwa nguruwe bali kwa binadamu aliyeambukizwa. Kwa hiyo wale wala kitomoto waendelee kushambulia kwa raha zao...
Lakini inaonekana kama stori yenye ukweli fulani. Kuna kitu ambacho hakikuwa cha kawaida kwa huyu Michael Jackson aliyekufa majuzi. Au ndio maana hata suala la mazishi yake lina utata?
Wewe Bull usituletee mambo ya Uganda na Kenya. Hii ni Tanzania, na tumeshasema hatutaki suala la KADHI sio la serikali bali la BAKWATA. Period. Na hilo la Waislamu kufanywa kuwa second class citizens linatoka wapi Yarabi! Jiepushe na maneno ya uchochezi.
Pole sana ndugu yangu. Ungetumia condom usingekuwa na wasiwasi. Lakini sasa kwa kuwa yameshakusibu nakushauri umwandalie sehemu ya kukaa huyo binti kabla ya kugundulika kuwa ana mimba, kisha umhudumie ajifungue vizuri. Sikushauiri kutoa hiyo mimba. Huwezi kujua pengine huyo house girl anaweza...
Huyo ni mwandishi mwenye njaa kali sana. Kutimka kwake Nipashe kumetokana na kuondolewa kwa Sakina Datoo ambaye ndiye aliyempeleka hapo. Bila shaka ameshawishiwa na Sakina kuondoka kwani huyo dada wa Kihindi naye inasemekana yupo njiani kwenda huko. Ila na-doubt kama ni mwandishi mahiri kama...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.