Nimetembea na ‘house Girl’ wangu na sasa ana mimba

kutembea na house girl baba we mroho sas mkeo sijui utamwambia nini.mimi sina ushauri. ushauri nitatoa kwa wenye kusoma hii habari {its not worth it}kumshushia mkeo heshima jamani
 
Naitwa baba Zai wa Buguruni Dar, nimeoa na tumebahatika kupata mtoto mmoja. Kutokana na mke wangu kuwa anafanya kazi, tulilazimika kutafuta mfanyakazi wa ndani.

Mke wangu amekuwa akirudi kutoka kazini usiku sana na mimi huwa narudi nyumbani saa nane mchana. Nimejikuta muda mwingi nakuwa na mwanangu na ‘hausi geli’ tu ambapo mke wangu tumekuwa tukiwa na muda mzuri wa kuvinjari siku moja tu kwa wiki.

Nisiwafishe ‘hausi geli’ huyu alitokea kunipagawisha kutokana na umbile lake, sijui ni tamaa au nini lakini nikajikuta nimezama katika dimbwi la mahaba kiasi cha kufikia hatua ya kumchukulia kama mke wangu kwasababu huduma nyingi alikuwa akinipatia.

Kinachonipa wakati mgumu sasa ni kwamba, mke wangu anahisi kuwa natembea na huyu mfanyakazi wangu na kwamba ikibaini hivyo kwa ndugu jamaa na marafiki itakuwa ni aibu. Mbaya zaidi ‘hausi geli’ huyo sasa anadai ana mimba yangu. Hebu naomba unishari nifanye?

Kwanini umeeachia tamaa ikutawale baba zai?wewe ni baba mwenyenyumba lazima mkeo anakusikiliza mngekaa chini mjadiliane kabla hujafikia hayo maamuzi.its too tough but watch out coz hawa mahausgeli wa siku ghizi hakawii kukupakazia but ongea nae vizuri lisisanuke.
 
Hufai katika jamii ya Tanzania, hata mtoto waka atakuzarau kama baba, hawezi kukupa heshima tena, kwani umemdhalilisha mama yake!

Kutembea na housegal?????!!!!!!!!!!! Aibuuuuuuuuuuuu!!!!!!!!!!!!!!!
 
Hufai katika jamii ya Tanzania, hata mtoto waka atakuzarau kama baba, hawezi kukupa heshima tena, kwani umemdhalilisha mama yake!

Kutembea na housegal?????!!!!!!!!!!! Aibuuuuuuuuuuuu!!!!!!!!!!!!!!!
Yaani wewe umejiunga hapa, kumsuta jamaa tu? Yeye anahitaji ushauri na sio kusutwa
 
Naitwa baba Zai wa Buguruni Dar, nimeoa na tumebahatika kupata mtoto mmoja. Kutokana na mke wangu kuwa anafanya kazi, tulilazimika kutafuta mfanyakazi wa ndani.

Mke wangu amekuwa akirudi kutoka kazini usiku sana na mimi huwa narudi nyumbani saa nane mchana. Nimejikuta muda mwingi nakuwa na mwanangu na ‘hausi geli’ tu ambapo mke wangu tumekuwa tukiwa na muda mzuri wa kuvinjari siku moja tu kwa wiki.

Nisiwafishe ‘hausi geli’ huyu alitokea kunipagawisha kutokana na umbile lake, sijui ni tamaa au nini lakini nikajikuta nimezama katika dimbwi la mahaba kiasi cha kufikia hatua ya kumchukulia kama mke wangu kwasababu huduma nyingi alikuwa akinipatia.

Kinachonipa wakati mgumu sasa ni kwamba, mke wangu anahisi kuwa natembea na huyu mfanyakazi wangu na kwamba ikibaini hivyo kwa ndugu jamaa na marafiki itakuwa ni aibu. Mbaya zaidi ‘hausi geli’ huyo sasa anadai ana mimba yangu. Hebu naomba unishari nifanye?

niliwaambia msile tunda la mti wa katikati, nanyi mkala...
 
Yaani wewe umejiunga hapa, kumsuta jamaa tu? Yeye anahitaji ushauri na sio kusutwa

Yaani mkuu Kibunango, unafikiri huyu Annamushy anamfahamu Shy ana alikuwa anajua shy alimpanda hg?? Yaani kwa ki-chemistry wanaitwa mercury!!!(short chemical form hg)?? Ina maana huyu mdada Annamushy alifahamu hii post ya Shy!!!!??

Bottom line kutembea na hg na kibaya zaidi kuzaa naye ni aibu kwa watoto wako!!?? Kama baba utathubutu kumkaripia mtoto wako eti nikileta dada hapa mheshimu??/ Kulaleki!!!!
 
Pole sana ndugu yangu. Ungetumia condom usingekuwa na wasiwasi. Lakini sasa kwa kuwa yameshakusibu nakushauri umwandalie sehemu ya kukaa huyo binti kabla ya kugundulika kuwa ana mimba, kisha umhudumie ajifungue vizuri. Sikushauiri kutoa hiyo mimba. Huwezi kujua pengine huyo house girl anaweza kumzaa RAIS wa kesho wa Tz,
 
huyu baba jamani kurudi saa nane home mwenzio bado anawajibika huko ili watoto waende choo vizuri anakuja kumfanyia haya? alishamtamani huyu hgal kitambo, na hiyo saa nane yake ya kurudi home alikuwa anajua anataka/mendea nini, na haya magonjwa kweli wanacheza kavu? cjui ingekuwa mie ndio huyo mama cjui ningeambiwa vipi nimuelewe jamaa, afadhali wangekuwa hata wanatumia sox bac ningefikiria nimchukulie hatua gani mr, lakini kavu kavu na mie nipo kibaruaini natafutia watoto ugali we upo home na akili yako inakutuma hivi? kweli cjui kabisa, iwe icwe we mbaba umeuwa ndoa yako kibudu, hapo uaminifu kwa mkeo hautakuwepo tena, ataogopa hata kukuacha na binti yako wa kumzaa, wengine wanasema amwambie tu wify mambo yasonge, mnadhani ni cmple hivyo? yani kuna mawatu hayajui kupendeka jamani, sasa unampenda limtu kwa roho yako yote linakuja kukutenda haya?......yaaani cjui niseme nini.
 
Samahani kwa hili swali; wewe ni mkristo au muislamu? Kama ni muisalamu, kwa kuwa imani yajo inaruhusu kuoa mke zaidi ya mmoja, basi fany utaratibu wa kumuoa. Hata kama ulikuwa huna utaratibu wa kuwa na wake wawili, kama mwanaume inabidi tu uwe tayari kulipia madhambi ya kumsaliti mkeo kipenzi.
Na kama mkristo basi jiandae kulea mtoto kwa gharama yoyote ile hata kama ni pamoja na matusi toka kwa mkeo, maana umelikoroga mwenyewe.
ABORTION IS MURDER.
 
ni tabia mbaya si ya kuigwa, kusikilizwa wala kuangaliwa kwenye jamii staarabika. Kwanini ulioa wakati bado akili haijatulia?
 
POLE sana ndugu. Kukulaumu wewe kwa sasa hakusaidii kitu. Kitu cha maana angalia mbele. Usijerudia hilo kosa. Mi nakushauri hivi:
a. Mwambie mkeo juu ya jambo hilo (juu ya mimba ya h.girl) mapema kabla mwenyewe hajagundua. Hii kwako itaonesha aina ya sincerity fulani na toba kwa yale uliyomtendea. Mwambie ukweli na kumwomba msamaha
b. Mimba ya mjakazi ipokee na mtoto atakayezaliwa mpokee na kumlea kama kawaida
c. Mtunze yule kijakazi: mtafutie mahali pa kukaa, na labda kuwanzishia mradi fulani wa maisha ili asihangaike katika maisha ukijua kwamba wewe ndiyo umemharibia maisha yake.
d. Usiendelee kufanya naye mapenzi tena. Mwache kabisa! Najua yaweza kuwa ngumu. Lakini unaweza ukiamua. YOU CAN! Ukimwacha kabisa itasaidia kujenda mahusiano mazuri zaidi na mkeo. Pia itaonesha kwa mukeo kwamba kweli ulianguka kwa nbahati mbaya, na kwamba toba yako ilikuwa ni kweli.
KAZI KWAKO MWANAUME! POLE.
 
Correct me if am wrong, Baba Zai - is that baba Zaina? Unaelekea ni muislam, dini si inaruhusu? Basi muombe ruksa bi mkubwa, muoe huyo bi dada - naye ni mwanamke kama wengine tu, ni bahati mbaya opportunities hazikuwa upande wake akaishia kuwa dada wa nyumbani. Kibaya hapa, ni ukosefu wa uaminifu uliokuwa unafanya kumzunguka mkeo behind her back, for this shame on you! Na maradhi haya, kaka uangalifu kwako ni msamiati!

Ukimaliza hayo, ajiri dada mwingine. Kama kawaida yako, wala usitafute shughuli ya ziada, saa nane..wahi myumbani ukacheze na wanao na housegirl mwingine utakayekuwa umemuajiri, baada ya muda oa na yeye!
 
ningependa kujua nini hatma ya stori kama hizi wajameni...mnaozileta mngekuwa mnatupa na updates...wengine huwa tunakabwaga na umbea...usioisha..lol
 
ningependa kujua nini hatma ya stori kama hizi wajameni...mnaozileta mngekuwa mnatupa na updates...wengine huwa tunakabwaga na umbea...usioisha..lol
lolllllllll Roselyne kwakweli sikufichi wala sijaribu kukuficha...

napenda post zako... and ur straightforwardness (long word ya? )
 
Back
Top Bottom