Ni utapeli tu wa waandaaji kula pesa zetu kwani walijua mapema toka jana kuwa cheka hatapigana leo,aliwambia waweke mkanda sio pambano la bonanza kama hilo,angekuwa kakimbia asingekuja pale kavaa suruali jinzi na tshirt tu kwa hiyo waandaji walijua hamna kitu,na Shigongo kazidi utapeli kuanzia...