Maundumula nakuunga mkono hata diwani mmoja wameshindwa kumuweka?makamba umechemka wengi hao wako bize sana kiasi ungemweka hata mwenyekiti wa halmashauri ingesaidia kwani angekuwa link kubwa coz anayajua matatizo ya wanabumbuli kuliko hao wasomi
Sent from my BlackBerry 9800 using JamiiForums
Sasa wewe Mark hapo umesifia nini kwa mfano. Badala utoe mchango unasifia - this proves the simple mind you have. JM needs your contribution on the board of Directors which he has appointed
Well-done JM... Wabunge wetu wa CDM wajifunze hilo kwa sababu lina manufaa ya muda mrefu kwa jamii husika!! Hata hivyo BDC tunasubiri kuona matokeo ya juhudi hizo, isije ikaishia kwenye makaratasi tu!!
makamba jembe! nilisema na nitaendelea kusema.. makamba huwa anafanya.. hapigi domo..
Ingependeza zaidi kama kungekuwa na mkazi wa kawaida wa Bumbuli angalau mmoja. Hata hivyo, kwa sasa its too soon kupongeza au kulaumu, ila kinachoonekana ni kwamba wenzetu wa Bumbuli wamegeukia upande mzuri - whether upande waliogeukia ndio watakaoelekea is yet to be seen.
Ila katika bandiko hili nimeona kitu very interesting - yaani January katika CV yake hajagusia kabisa kwamba amewahi kufanya kazi Ikulu!!! Kwa sisi pundits hapa tunaona taarifa muhimu anayotoa January ya kujidissociate na Rais Kikwete. Ni kama jinsi John McCain na Republicans walivyokuwa wanajitenga na Rais Bush mwaka 2008. "Watch this space..."
makamba jembe! nilisema na nitaendelea kusema.. makamba huwa anafanya.. hapigi domo..
Teh teh kafanya nini hapo emu acha upunguani wako mimi mwenyewe nina kampuni ya MAENDELEO kijiji kwetu nimejaza DIRECTORS wasomi na matajiri lakini hatujawahi kutoa ata DAWATI kijijini nadhani umenielewa wewe ZUMBUKUKU usipoelewa wewe wana jamvi hili wamenielewa.