BBC: Jumuia ya Afrika Mashariki mashakani, Marais wa Kenya, Uganda na Rwanda waunda umoja wao!

BMT

JF-Expert Member
Jul 18, 2011
574
222
wanajf!kwa aliyebahatika kusikiliza bbc jioni ya leo atakubaliana nami kuwa jk amechokwa au anatengwa na wenzake,, kitendo cha kagame,museveni na uhuru kenyata kukutana kikao cha faragha leo entebe-uganda bila kumshirikisha jk,imeniweka pabaya!!hawa marais wanamuonaje rais wetu! naomba kuwasilisha
 
Ataongea nini na akina Kagame wakati nchi imemshinda kuongoza na raia wanauawa hovyo
 
Jamani Rais kikwete hana shida tatizo niwatendaji wake na kuhusu kwenda kwenye kikao jamani tambueni kuwa Rais naye anapangiwa ratiba huwa hajiendei tu kama ww unavyotoka nyumbani kwako ok na anaongozwa na sheria pia kuna gharama kulingana huwa haendi peke yake.
 
Anapangiwa na nani huyo anayezurura kama kuku wa kienyeji amejishusha hadhi na kudharaurisha nchi yetu
 
Jaribu kuangalia whats common between those three.

1. Tribalism.
2. ICC-prone.
3. Hated by the West, not really accepted by the East.
4. Mombasa port.
5. AFCOM (As a source of forex, and a way of brown nosing the US just to pacify their people's outcry).

Baada ya hapo, unaweza labda kujua kwanini wamemside track JK.
 
wanajf!kwa aliyebahatika kusikiliza bbc jioni ya leo atakubaliana nami kuwa jk amechokwa au anatengwa na wenzake,, kitendo cha kagame,museveni na uhuru kenyata kukutana kikao cha faragha leo entebe-uganda bila kumshirikisha jk,imeniweka pabaya!!hawa marais wanamuonaje rais wetu! naomba kuwasilisha

labda anataka kuhamisha tanzania iende ulaya
 
Jaribu kuangalia whats common between those three.

1. Tribalism.
2. ICC-prone.
3. Hated by the West, not really accepted by the East.
4. Mombasa port.
5. AFCOM (As a source of forex, and a way of brown nosing the US just to pacify their people's outcry).

Baada ya hapo, unaweza labda kujua kwanini wamemside track JK.

Subjectively prone to defend the indefensible. When will you objectively see and learn that JK is a load of trash domestically as well as internationally????
 
wanajf!kwa aliyebahatika kusikiliza bbc jioni ya leo atakubaliana nami kuwa jk amechokwa au anatengwa na wenzake,, kitendo cha kagame,museveni na uhuru kenyata kukutana kikao cha faragha leo entebe-uganda bila kumshirikisha jk,imeniweka pabaya!!hawa marais wanamuonaje rais wetu! naomba kuwasilisha

Sio lazima JK awepo inategemea agenda walizonazo kama zinahusu nchi 3 hizo sioni ubaya wowote as long as ni faragha ni mambo yao mbona Rais wa Burundi hakuwepo.
 
Subjectively prone to defend the indefensible. When will you objectively see and learn that JK is a load of trash domestically as well as internationally????

Kwa kiingereza cha QT hapa huambulii kitu nikujipitia tu.
 
wanajf!kwa aliyebahatika kusikiliza bbc jioni ya leo atakubaliana nami kuwa jk amechokwa au anatengwa na wenzake,, kitendo cha kagame,museveni na uhuru kenyata kukutana kikao cha faragha leo entebe-uganda bila kumshirikisha jk,imeniweka pabaya!!hawa marais wanamuonaje rais wetu! naomba kuwasilisha
Hiyo si inatokana na ziara ya kikazi ya kenyatta Kampala na bandari ya Mombasa kenya inahudumia nchi ya rwanda na uganda. Kwani wewe hujui hilo mpaka unashangaa kwa nini jk hayuko kwenye kikao hicho?
 
Museven na Kagame Wanajipanga kutumia bandari ya Mombasa kuliko bandari ya Dar es Salaam. Wanafocus kukuza uchumi wakati baba Mwanaasha anafocus kukabiliana na wapinzani wake kisiasa kutumia Policcm
 
Maneno ya mkosaji wale wamekutana kikao cha faragha,unajua maana ya faragha wewe,kwani hao marais wanachangia nini kwa tanzani na isitoshe wanaona soo kwa obama kuja tanzania.
 
wanajf!kwa aliyebahatika kusikiliza bbc jioni ya leo atakubaliana nami kuwa jk amechokwa au anatengwa na wenzake,, kitendo cha kagame,museveni na uhuru kenyata kukutana kikao cha faragha leo entebe-uganda bila kumshirikisha jk,imeniweka pabaya!!hawa marais wanamuonaje rais wetu! naomba kuwasilisha
Nuru ya jk itaendelea kusonga mbele kwanza wale wote wanamatatizo ni wakabila,na udikteta kwa kagame na museveni.
 
Maneno ya mkosaji wale wamekutana kikao cha faragha,unajua maana ya faragha wewe,kwani hao marais wanachangia nini kwa tanzani na isitoshe wanaona soo kwa obama kuja tanzania.

Mi sioni kam kuja Obama ni big deal zaidi ya wao kunufaika na kuendeleza unyonyaji hao Marais wamekutana kwa mipango yao ya maendeleo sio ishu ya Obama, Tena Obama anaipenda kenya ndio maana haendi kuwaibia.
 
Subjectively prone to defend the indefensible. When will you objectively see and learn that JK is a load of trash domestically as well as internationally????
As long as you show me the facts.
Tanzania is comparatively stable and peaceful, that is known.

Also, the potential that she holds as the next energy giant sitting on a very strategic point, geographically and militarily, attracts the world's major players.

Tanzania can fight for Palestine openly,support Assad, support Iran, Zimbabwe and have brotherly relations with China, reject AFRICOM and still have respect from US, Japan and the rest of the Western block.

Those three durangatans can kiss all the a$$ in the western block, and still looked down as the puppets of western bible belt lobbysts.(you are mad because CDM is falling on the same category) and nothing else.

No one in the International community listen to those pinheads anymore.
 
Back
Top Bottom