Pambano la cheka na kaseba

Ni utapeli tu wa waandaaji kula pesa zetu kwani walijua mapema toka jana kuwa cheka hatapigana leo,aliwambia waweke mkanda sio pambano la bonanza kama hilo,angekuwa kakimbia asingekuja pale kavaa suruali jinzi na tshirt tu kwa hiyo waandaji walijua hamna kitu,na Shigongo kazidi utapeli kuanzia kwenye magazeti mpaka kwenye matamasha.inabidi adhibitiwe.

Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
 
Kinachoonekana hapo hao waliitwa kuja kuonyesha sura zao tu, kiufupi mmetapeliwa! Uwanja ulijaa?
 
Ni utapeli tu wa waandaaji kula pesa zetu kwani walijua mapema toka jana kuwa cheka hatapigana leo,aliwambia waweke mkanda sio pambano la bonanza kama hilo,angekuwa kakimbia asingekuja pale kavaa suruali jinzi na tshirt tu kwa hiyo waandaji walijua hamna kitu,na Shigongo kazidi utapeli kuanzia kwenye magazeti mpaka kwenye matamasha.inabidi adhibitiwe.

Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums

cheka nae atakuwa ameshiriki ktk utapeli huo 7bu alikubali jina lake liwekwe kwenye matangazo angali akijua hatopigana
 
Shigingo ni mpuuzi na he is full of shit. Tumeenda kucheki pambano hilo. Badala ya kutoa pesa kwa Cheka, yeye anabania pesa. Cheka akagoma kupigana mpaka apewe chake. Eti kaSeba akapewa ushindi na zawadi yake.
Huyo mwanamuziki mbana pua Roma hakujitokeza.
Huyo Diamond na kameleoni hawajashuka kwenye hiyo helkopter kama ilivyo advertiziwa.
Ila watu walikua wengi wa kutosha.
Nahisi mabweni yataojengwa kwa ajili ya wasichana yatawezekana lakini hayatakuwa mengi kihivyo coz lengo la tamasha ni kuchangia hilo.
Shigongo u suck
 
Cheka alihojiwa juzi tbc1 mchana akasema hatapigana na akawaasa waDanganyika kutofika huko kwa ajili ya pambano lake. Cha ajabu serikali ilivyo na vyombo vyao walivyo wapuuzi baada tu ya ile taarifa ya habari matangazo ya pambano la Cheka yakaendelea kama kawaida. Nashindwa kuelewa umakini wa vyombo vya serikali. Kama wao wanafanya hivi, kwa nini radio na tv uchwara zishindwe?
 
Wajinga ndiwo waliwao.

Huyu jamaa alikataa na kuonesha dalili zote, isipokuwa waandaaji wamewatapeli mashabiki wakiujua ukweli.
 
Sasa huyu Cheka kama alijua hatapigana, kwa nini alipima uzito na kuleta tambo yingiii?! shame on him.
 
mi namkubari cheka hawezi kumuogopa kaseba,hapa lazima kulikuwa na swala maslahi yake period!
 
Shigingo ni mpuuzi na he is full of shit. Tumeenda kucheki pambano hilo. Badala ya kutoa pesa kwa Cheka, yeye anabania pesa. Cheka akagoma kupigana mpaka apewe chake. Eti kaSeba akapewa ushindi na zawadi yake.
Huyo mwanamuziki mbana pua Roma hakujitokeza.
Huyo Diamond na kameleoni hawajashuka kwenye hiyo helkopter kama ilivyo advertiziwa.
Ila watu walikua wengi wa kutosha.
Nahisi mabweni yataojengwa kwa ajili ya wasichana yatawezekana lakini hayatakuwa mengi kihivyo coz lengo la tamasha ni kuchangia hilo.
Shigongo u suck

Wewe, acha porojo za kipuuzi, Shigongo hawezi kufanya vitu vya maana kwa sababu zifuatazo:
  1. Ni kada wa CCM chama dhaifu
  2. Ni mmliki wa udaku na kwahiyo amekaa kidaku tu
 
Wajinga ndiwo waliwao.

Huyu jamaa alikataa na kuonesha dalili zote, isipokuwa waandaaji wamewatapeli mashabiki wakiujua ukweli.
Kwa nini alipima uzito na kutoa tambo kwamba atampiga Kaseba na isitoshe bado alifika uwanjani?
 
Wizi wa kisanii> Kuanzia muandaaji mpaka wapiganaji tunashukuru kwa kutujuza sisi wa mbali (Bara) tumepata mengi kumbe wolper na wema ngoma droo je na Mpira Wabunge wa simba na Yanga je tupeni feedback
 
Back
Top Bottom