Novel writer gani ni best kwako?

a mdogo kabisa niliwahi kusoma novel za mtu mmoja marehemu kwa sasa alikuwa anaitwa Elvis Musiba na baadae Ben Mtobwa wakiwa na characters wao waliowapa mija ya Willy Gamba na Joram Kiango. Mnawakumbuka hawa?

Baadae nikahamia kwenye yale makubwa na my favorite hapo alikuwa Sidney Sheldon ambaye nimesoma novel zake zoooote kuanzia "The naked face" mpaka ya mwisho "Are you afraid of the dark" aliyoitoa kabla hajafariki dunia. Katika zote my favourite ni "If tomorrow comes"

What was yours?
Robert ludlum na eric van lusterbeder kwa bongo ben mtobwa na kitabu chake cha pesa zako zinanuka kama hivi sasa
 
nilisoma 'the time to kill,the rain maker,street lawyer,the pelican brief,i like John Grisham

The pelican brief imechezewa movie kama nyingi za Robert Ludlum

Mnakumbuka the Godfather ya Mario Puzo?
 
Sidney Sheldon is my best.
Then Danielle Steel, Harrold Robins na Christopher Pike, huyu novel zake ni horror.
Za Sidney nlozipenda sn ni if tomorrow comes na sands of time.
Kwa Tz namkubali Shaffi Adam na Mohd said
 
Kama unapenda Horror soma za Stephen King pia, ingawa huwa sipendi anavyomalizia maana kuna vitu huwa havimalizii so unakuwa hujui mwisho wake.

If tomorrow comes ilibidi niitafute video series yake maana thats my favorite asee
 
Dah halafu mmemsahau Fredrick Forsyth na vitabu kama The Odesa Files, Days of the Jackel
 
The pelican brief imechezewa movie kama nyingi za Robert Ludlum

Mnakumbuka the Godfather ya Mario Puzo?

mkuu umenikumbusha hiyo mafia story,nimeisoma kama mara tatu,na niko na dvd yake,'The God Father' ni kiboko,personally i like all sort of crime and didective novels na stories,kwa sasa nasoma'safer dead' ya James H Chase
 
Thomas Harris the guy is a genious both a novelist and a screenwriter,his series featured 3 thrilling novels Hannibal,The Silence of Lambs and Red Dragon.
Plus Anthony Hopkins did justice to the novel-The Silence of Lambs as he played the role of Dr Hannibal Lecter to perfection.
 
mkuu umenikumbusha hiyo mafia story,nimeisoma kama mara tatu,na niko na dvd yake,'The God Father' ni kiboko,personally i like all sort of crime and didective novels na stories,kwa sasa nasoma'safer dead' ya James H Chase
Yaani mi pamoja na kusoma nyingi sana, sijawahi kusoma ya Chase hata moja asee
 
Mbona hamtaji ma-star wetu humu?
Lizzy bin JF
Mzee Mwanakijiji
Mtambuzi JF
Sijui kwa nini hawatoi vitabu in hard cover!

Wanyumbani nilimsoma sana Ben R Mtobwa na Elvis Musiba nikiwa primary. Mwalimu anafundisha mie nimeweka 'tutarudi na roho zetu' katikati ya daftari niko busy!

Anything from Jackie Collins, John Grisham, Sydney Sheldon, Danielle Steele na Igles (huyu nimem-discover recently kama 2 yrs). I just love reading big books.
 
Hahahahaaa Lizzy naye mwandishi wa riwaya.........meipenda hii
 
jamani mwenye kujua mwandishi wa novel ya sweer sorrow anikumbushe
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom