Civil engineering only kwa Wale waliochaguliwa DIT only | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Civil engineering only kwa Wale waliochaguliwa DIT only

Discussion in 'Jukwaa la Elimu (Education Forum)' started by furaha2008, Aug 22, 2012.

 1. f

  furaha2008 Member

  #1
  Aug 22, 2012
  Joined: May 31, 2012
  Messages: 25
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Wadau kwa yeyote aliye na swali kuhusiana na chuo iki aulize mapema kwani wa2 weng mkifika pale watawatisha sana hasa kuhusiana na lecture 1 anaitwa Daudi singo
   
 2. M

  Mfukunyuzi Senior Member

  #2
  Aug 22, 2012
  Joined: May 30, 2012
  Messages: 127
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  vp mkuu kwani kuna mizinguo yoyote mwana
   
 3. r

  rweiki Member

  #3
  Aug 22, 2012
  Joined: Feb 23, 2010
  Messages: 40
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Acha uoga,singo wa kawaida,we kama hujui SOIL useme usaidiwe.hata hiyo foundation eng utasaidiwa usitishe watu kwa ukilaza wako
   
 4. Tangopori

  Tangopori JF-Expert Member

  #4
  Aug 22, 2012
  Joined: May 11, 2012
  Messages: 1,613
  Likes Received: 274
  Trophy Points: 180
  vipi mpango wa hostel inakuwaje? nimekuwa addmited comp. engneering
  chuo kitafunguliwa lini?
   
 5. f

  furaha2008 Member

  #5
  Aug 23, 2012
  Joined: May 31, 2012
  Messages: 25
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Kiukweli singo anazingua tena sana mana ukiwa first year atawazingua sana first notice hatoi na anafundisha haeleweki kabisa na bt ukijiandaa kupiga msuli wako private kama mtoto wa kata dit hapasumbui bt ukiwa wa kishua mhh!!!!! 2taona mbele ya safari. Kuhusu hostel zipo pale dit japo hazitoshi na changombe kwa first yea bt ukiwa udwanzi kukaa na watoto wa dip unaingia zako kitaa hasa upanga, kariakoo na pocta wish mmenipata fresh
   
Loading...