Ringo Edmund
JF-Expert Member
- May 10, 2010
- 4,879
- 1,134
Hili jengo nimelikuta bukoba mjini naomba wahaya waniambie wanavyotumia milango ya ghorofani.
Mkuu umelikuata likiwa limeanguka hivi?
Itakuwa ni imejensi doo...
imejensi kana kwamba ukitoka tu unakutana na ndege au helikopta?
Unatoka na parachuti jaketi au inawekwa ngazi ya faya kwa nje...
Unatuumiza shingo