Watz tuwe waelewa..hv tunawajua kagame na mseveni..leo wako kivu..kesho utawsikia wako rusumo na misenyi...hogera JK tuanze kujenga heshima ya tz ...ni kwa kuwafuata huko walipo..kumbukeni jeshi la rwanda kwa sasa lina idadi kubwa ya askari..watawamudu vp ndani ya nchi yao...ni kwa kuwatafutia...
Mchungaji Faustin Munishi. Ametamka kwamba atagombea Urais Tanzania bila chama cha kisiasa. atakuwa Mgombea Huru bila siasa. Atakapokuwa Rais atagawana madaraka na Jeshi, pia wadau wote hasa wapiga kura. Ukiritimba wa CCM kutumia madaraka vibaya utakuwa kwenye kaburi la sahau.
source:Gospel Kitaa
yah..imefika wakati watanganyika tuseme ukweli,,kwa muda mferu tumekuwa kimya kama silaha ya kuulinda muungano..udhaifu huu umewajenga upande wa pili kujiona kana kwamba sisi tunanufaika na huu muungano..wamekuwa wakisema maneno makali hata tukiwa makazi..tumeonyesha moyo wa unyonge kuepusha...
maisha ya kungojea uda na chai maharage toka kisarawe pale kwa mzee wa shamba ili kwenda town..na ukitoka town unabeba kidumu cha maji ya kunywa lita tano...ilikuwa bonge la deal....maisha ya scramble za menyu na n.k
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.