Kova: Kelele Zenu Ni Bure, Ahmed Msangi Ni Mtu Safi. Lazima Aongoze Tume...

Muke Ya Muzungu

JF-Expert Member
Jun 17, 2009
3,444
264
Kamanda wa Polisi Kanda Maalumu ya Dar es Salaam, Suleiman Kova amesema jopo la upelelezi aliloteua hivi karibuni kushughulikia tukio zima la kutekwa kwa Dk Ulimboka litaendelea na kazi yake hadi mwisho na hatasikiliza kelele za wanaodai kutokuwa na imani nalo.

Alisema madai yanayotolewa na watu mbalimbali akiwemo Dk Ulimboka mwenyewe kuwa hana imani na jopo hilo hazitabadili chochote kwani kinachofanyika hivi sasa ni kazi ya kawaida ya upelelezi ya jeshi hilo... "Hao wanaosema hawana imani na jopo hilo hawana hoja isipokuwa waliache jeshi la polisi lifanye kazi yake.

Kiongozi huyo wa mgomo wa madaktari alitekwa na kisha kujeruhiwa vibaya na baadaye kutelekezwa katika Msitu wa Pande. Source Mwananchi : Kweli kova na haya madudu yote haya ??????????? Kweli........!!
ahmed.png
Kamanda%252520Ahmed%252520Msangi%252520alietaka%252520kumuua%252520Dr%252520Ulimboka_thumb%25255B2%25255D.jpg
 
Huwa najickia kwenda Choo inickiapo jina "KOVA!!" hili jamaa nililiona bobge la Kamanda kumbe hovyo kabisa. Hamna lana mbaya kama kula kiapo then kutotii kiapo chako... Ole wako KOVA...
 
  • Thanks
Reactions: GP
safi kamanda naona leo zimepatika na nakala zote. tungeomba zibamndikwe sehemu mbalimbali hasa dar ili Kova ajinyonge mwenyewe
 
Kova ni Mpuuzi sana. Analeta amri zake za kambini Uraiani? Ishu hapa siyo Msangi kuongoza Tume! Ishu ni uhalali wa matokeo ya Tume! Lakini simshangai ndivyo maaskari wote walivyo badala ya kujenga hoja wanatunnisha misuli. Hovyoo!

TUMBIRI (PhD, University of HULL - UK),

tumbiri@jamiiforums.com
 
Msishangae inawezekana hata huyo Kova na Mwema wakiwa wanashirikiana na Majambazi. Nchii hii kila Kiongozi anakuwa na Jeuri na dharau kwa wananchi. Pumbafuuuu zao
 
No more to say nothing serious will come out of this comittee.
 
Ni muhiimu sana kumtumia mhusika afanye uchunguzi, umuhimu wake ni kuwa kwa kuwa yeye ni mhusika wa utekaji au utesaji ni yeye anayejua mwenendo wote wa tukio na Alama zote walizoziacha ambazo Kama yeye hatakuwa kwenye tume zinaweza kuwaongoza wengine kwenye ukweli usio na chenga na kusema hadharani uovu wa geshi, kumtumia mhusika kutalahisisha utengenezaji wa ripoti ya uongo wa kweli unaoweza kutufunika ukweli halisi ili kupunguza idadi ya wanaotuhumu jeshi la polisi na sirikali. Mna akili hadi raha
 
Huwa najickia kwenda Choo inickiapo jina "KOVA!!" hili jamaa nililiona bobge la Kamanda kumbe hovyo kabisa. Hamna lana mbaya kama kula kiapo then kutotii kiapo chako... Ole wako KOVA...

hili jamaa ni MR MISIFA, tungoje astaafu tu, hana lolote.
 
Huyo jamaa aliyeandika hii barua hana sifa ya kuwa polisi Tanzania.
Kazi namba moja ya Polisi nchini Tanzania ni kukamata raia wema au majambazi wasio shirikiana na Polisi.
Huyu jamaa vipi?
 
Huyu kova mpuuzi kweli,hivi anafikiri hatujui dili zake anazofanya na hawa polisi wa doria usiku.Apeleke makengeza yake huko,sijui kwa nini aliachwa akakua na makengeza yake,wangemtupilia mbali awe chakula cha fisi
 
Kamanda wa Polisi Kanda Maalumu ya Dar es Salaam, Suleiman Kova amesema jopo la upelelezi aliloteua hivi karibuni kushughulikia tukio zima la kutekwa kwa Dk Ulimboka litaendelea na kazi yake hadi mwisho na hatasikiliza kelele za wanaodai kutokuwa na imani nalo.

Alisema madai yanayotolewa na watu mbalimbali akiwemo Dk Ulimboka mwenyewe kuwa hana imani na jopo hilo hazitabadili chochote kwani kinachofanyika hivi sasa ni kazi ya kawaida ya upelelezi ya jeshi hilo... “Hao wanaosema hawana imani na jopo hilo hawana hoja isipokuwa waliache jeshi la polisi lifanye kazi yake.

Kiongozi huyo wa mgomo wa madaktari alitekwa na kisha kujeruhiwa vibaya na baadaye kutelekezwa katika Msitu wa Pande. Source Mwananchi : Kweli kova na haya madudu yote haya ??????????? Kweli........!!

Hata Kova mwenyewe sio msafi ni kiongozi wa majambazi hivyo haitarajiwi kuteua watu safi. Waulize Mbeya watakuambia jinsi alivyo huyu jamaa yaani ni noma.
 
Kova bana. Hivi hajui kama hiyo report tarajiwa toka kwa Ahmed Msangi itakuwa sehemu ya ushahidi hapo kesi itapoanza ICC?
 
Tatizo la nchi hii ni kuwa haina utawala unaoeleweka.Naomba wananchi wote mtambue kuwa hawa jamaa wanaokula madaraka wanajuana sana, hakuna asiyejua mwenzake anafanya nini.Hata tukio hili la Ulimboka watawala wote wanajua kilichojiri lakini wanataka kutuzuga tu hapa.
 
Back
Top Bottom