VIDEO: CCM wananitishia maisha - Rev. Munishi

Status
Not open for further replies.
Ha ha ha.. Wanakutishia hata wewe Mwimbaji na Mtumishi Mungu..! Wakemee hao.. wanaweza kukuondolea uhai wako..
 
Duh hadi waimba injili wameanza kutishiwa maisha kweli gamba linaelekea kuyeyuka dalili zote zinaonekana badala ya kuumiza vichwa kutatua matatizo ya watz wanaanza kutushia waimba injili?
 
Mchungaji Faustin Munishi. Ametamka kwamba atagombea Urais Tanzania bila chama cha kisiasa. atakuwa Mgombea Huru bila siasa. Atakapokuwa Rais atagawana madaraka na Jeshi, pia wadau wote hasa wapiga kura. Ukiritimba wa CCM kutumia madaraka vibaya utakuwa kwenye kaburi la sahau.



source:
Gospel Kitaa
 
Last edited by a moderator:
Kama anayosema huyu jamaa ni kweli basi huu ni uhuni wa kisiasa (political thuggery). Ashtakiwe mahakama za kimataifa.
 
Mie naona wote wawili sawa-Saniis au tuseme wasanii huyu siasa yule dini. Huyu ni kwa jina la maisha bora kwa wetu na yule ukombozi kwa jina la Yesu. At the end of the day they all don't deliver.
 
Madai ya huyu Mchungaji Munishi yasipuuzwe, hasa ukizingatia vitendo vya utekaji raia wanaoipinga serikali, ambavyo serikali yetu imetuhumiwa kuhusika navyo hivi karibuni. Hatahivyo ufafanuzi na uchunguzi zaidi wa madai haya unahitajika.
 
Ha ha haaaaa!!Jamani hii clip inachekesha sana,hasa hapo anapokemea mapepo!!
 
Sio ajabu kuwasikia Wachungaji na wao wanajiingiza katika siasa mchungaji kakobe alishawahi kutamka katika kanisa lake la Full Gospel kuwa Agustino Mrema atashinda tena kiti cha urais, haikutokea lolote, hata huyo MUNISHI akilaani na kutoa mapepo ni bora aachane na Siasa
 
"CCM imeshindwa katika jina la Yesu" - Kudadaaaadeiiik!
Mchungaji Munishi akaungane na Kingwendu, anafaa sana uchekeshaji.
 
huyu ni yule jamaa wa malebo?lol inaelekea kuna fuse inaloose au kunasehemu oxygen haifiki ubongoni mwake alisemea haya maneno kwenye tv os chumbanikwake mkee akawa anarecord kwa simu?
 
huyu ni yule jamaa wa
malebo?lol inaelekea kuna fuse inaloose au kunasehemu oxygen haifiki
ubongoni mwake alisemea haya maneno kwenye tv os chumbanikwake mkee
akawa anarecord kwa simu?

Huyu munish kuna cku kama wiki mbili zilizopita alijaza wa2 ubungo hii ikanionesha wa2 wanamkubal kidogo.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom