Lala ila linda usivunje mbavu zoteeeeeeee! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Lala ila linda usivunje mbavu zoteeeeeeee!

Discussion in 'Jokes/Utani + Udaku/Gossips' started by Yericko Nyerere, May 7, 2012.

 1. Yericko Nyerere

  Yericko Nyerere Verified User

  #1
  May 7, 2012
  Joined: Dec 22, 2010
  Messages: 16,250
  Likes Received: 3,863
  Trophy Points: 280
  (1) Wanyama pori walikua darasan,mwalimu akaulza "nani mwenye masikio makubwa?" Simba akacheka sana kisha akajbu,punda,
  wanyama wote wakamcheka punda,
  mwalimu akaulza tena "nani mwenye uume mkubwa? punda akageuka kwa simba akamwambia "jibu sasa khanithi mkubwa wee!"ubabe mwing uume mdogo!.


  (2) JAMAA wa3 wanajitambulisha kwa DEMU: wanaonekana kubabaika kwa uzuri wake.

  WA-1-NAITWA MUHAMMAD LAKINI SIO MTUME.
  WA-2-NAITWA YOHANA LAKINI SIO M-BATIZAJI.
  WA-3-NAITWA PAULO LAKINI SIO PAPA.
  Kisha wakamuuliza je na wewe mwenzetu unaitwaje?
  DEMU AKAJIBU NAITWA MARIA LAKINI SIO BIKRA.


  (3) Nilipoichomeka tu mtoto akachomoa,akadai hajazoea! Nikataka kuichomeka tena akawa ameishikilia hataki niingize.
  Ikabidi nimvizie akiwa amelala,alipostuka akakuta nimeshaiingiza akachomoa tena hapo nika amua kumuacha ang'atwe na mbu mpaka asubuhi maana hajui umuhi wa neti .JITAHDI WEKA NET.

  (4) Kweli kizazi cha sasa ni balaa tupu baba alikaa vibaya mtoto akuliza .Baba mbona mapumbu yako meusi!? Baba akajibu mashine ya mama yako ni ya. Diesel!

  (5)Jamaa alikua guest kuna mda akatoka na taulo kwenda mapokez kwa muudumu alipofika akamwambia muudumu naomba stik
  Muudumu akamuuliza vp umekula nn mbona hukupita na msosi hapa?
  Jamaa akamjibu ah nilikua nanyonya **** sasa **** limeninasa kwenye meno!


  Haya usiku mwema!
   
 2. Likwanda

  Likwanda JF-Expert Member

  #2
  May 7, 2012
  Joined: Jun 16, 2011
  Messages: 3,854
  Likes Received: 45
  Trophy Points: 145
  Teh teh!
   
 3. WaliNazi

  WaliNazi JF-Expert Member

  #3
  May 7, 2012
  Joined: Mar 7, 2012
  Messages: 853
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 33
  ....oohh maaiii.... PG!
   
 4. WaliNazi

  WaliNazi JF-Expert Member

  #4
  May 7, 2012
  Joined: Mar 7, 2012
  Messages: 853
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 33
  ....oohh maaiii.... PG!
   
 5. Viol

  Viol JF-Expert Member

  #5
  May 7, 2012
  Joined: Dec 15, 2009
  Messages: 18,982
  Likes Received: 1,088
  Trophy Points: 280
  ɐɐɐɐɐɐɐɐɐɐɐɐɐɐɐɐuɐs ɐɥsıʇǝɯn
   
 6. Yericko Nyerere

  Yericko Nyerere Verified User

  #6
  May 7, 2012
  Joined: Dec 22, 2010
  Messages: 16,250
  Likes Received: 3,863
  Trophy Points: 280
  Chunga mbavu, hapa ninazo za kichina ndugu!
   
 7. Yericko Nyerere

  Yericko Nyerere Verified User

  #7
  May 7, 2012
  Joined: Dec 22, 2010
  Messages: 16,250
  Likes Received: 3,863
  Trophy Points: 280
  Ukivujika mbavu hapa unashonwa bila ganzi, hatuna utani hapa!
   
 8. Judgement

  Judgement JF-Expert Member

  #8
  May 7, 2012
  Joined: Nov 13, 2011
  Messages: 10,361
  Likes Received: 72
  Trophy Points: 145
  Hongera bwanaa kwa kujiripua!
  Mi naona kama umejifunga mabomu vile ?
  Au mie ndy sioni vizuri nini ? Au ?
   
 9. Eng. Y. Bihagaze

  Eng. Y. Bihagaze Verified User

  #9
  May 7, 2012
  Joined: Sep 8, 2011
  Messages: 1,481
  Likes Received: 37
  Trophy Points: 145
  4.......
   
 10. Yericko Nyerere

  Yericko Nyerere Verified User

  #10
  May 8, 2012
  Joined: Dec 22, 2010
  Messages: 16,250
  Likes Received: 3,863
  Trophy Points: 280
  Hahaaa nimejifungaje tena mkuu?!
   
 11. C

  Che-lee JF-Expert Member

  #11
  May 8, 2012
  Joined: Jun 10, 2011
  Messages: 319
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Maaaaaaamaaaaaa duuu we yeriko umewaza nini? Heeeeheeeehee ya 4 balaaaaa!
   
 12. Mtanzanika

  Mtanzanika JF-Expert Member

  #12
  May 8, 2012
  Joined: Feb 27, 2012
  Messages: 2,211
  Likes Received: 734
  Trophy Points: 280
  Che-lee acha kukopi thread ndefu.
   
 13. o

  old traford Member

  #13
  May 8, 2012
  Joined: Mar 10, 2012
  Messages: 35
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  haaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaahaaaaaaaaaa
   
 14. dudupori

  dudupori JF-Expert Member

  #14
  May 8, 2012
  Joined: Jan 6, 2012
  Messages: 1,026
  Likes Received: 252
  Trophy Points: 180
  mashine ya mamako ni ya diesel, haaaaa haaaaa
   
 15. pula

  pula Member

  #15
  May 8, 2012
  Joined: Jan 23, 2011
  Messages: 36
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 15
  ahhhh...aaahhhh...ahhhh...hiyo ya mashine ya diesel chiboko...
   
 16. Wingu

  Wingu JF-Expert Member

  #16
  May 8, 2012
  Joined: Jan 14, 2011
  Messages: 4,326
  Likes Received: 23
  Trophy Points: 135
  Nipo theater lakini imenibidi ni cheke kitu cha diesel mwanzo mwisho.Saluti mkuu
   
 17. Yericko Nyerere

  Yericko Nyerere Verified User

  #17
  May 9, 2012
  Joined: Dec 22, 2010
  Messages: 16,250
  Likes Received: 3,863
  Trophy Points: 280
  Mmmmmmh kuna vituko vinatisha!
   
 18. MUREFU

  MUREFU JF-Expert Member

  #18
  May 9, 2012
  Joined: Oct 1, 2010
  Messages: 1,230
  Likes Received: 38
  Trophy Points: 145
  kusema ukweli nimecheka sana haswa hiyo namba moja na namba mbili yani ni kituko kitupu daaah!!!! kweli wewe mkali
   
 19. Yericko Nyerere

  Yericko Nyerere Verified User

  #19
  May 10, 2012
  Joined: Dec 22, 2010
  Messages: 16,250
  Likes Received: 3,863
  Trophy Points: 280
  Kamanda upo? Siku nyingi upo kimya tulikuzoea kwa ishu za jikoni
   
 20. farkhina

  farkhina Platinum Member

  #20
  May 11, 2012
  Joined: Mar 14, 2012
  Messages: 12,831
  Likes Received: 775
  Trophy Points: 280
  mwenzio nimecheka sana.
   
Loading...