Hey!!!! Pugu Boyz wa enzi zileee na wasasa

SIMBA WA TARANGA

JF-Expert Member
Feb 14, 2012
987
220
Hey!!!!! Pugu Boyz, wa miaka ile ya 90's and B4, Tukumbushane mambo mbalimbali. Naanza, Pondi, Fugus, Mwl Msungu ( Hayati), Mabagala, Songombingo, Juma Wasiwasi-Nidhamu, Nyau, Mzava 2nd Master ( the late), Mechi na Tambaza + Biological weapon= *****, Umoja, Ujamaa, Mapinduzi 3, Battle. Wapi Mzee ZE KICK? Endeleeni nitamaliza bureeeeeeeeeeee!
 
Duh!..nilitegemea nikute mapicha ya maana mtaa huu kumbe hata habari picha zinaruhusiwa..haya tena wazee wa kukoga Mwisho wa lami na Gongolamboto jimwageni hapo.
 
Mkuu, Subiri picha, hadi Nyumba aliyokuwa ana kaa Baba wa Taifa Mwl. J.K Nyerere, Bweni alilolala Mh Benjamin Mkapa, Jacson Makweta ( Sijui alipo) Simba wa Taranga= Mi mwenyewe , na mengine mengi . Stay tuned Bro.
 
Hey!!!!! Pugu Boyz, wa miaka ile ya 90's and B4, Tukumbushane mambo mbalimbali. Naanza, Pondi, Fugus, Mwl Msungu ( Hayati), Mabagala, Songombingo, Juma Wasiwasi-Nidhamu, Nyau, Mzava 2nd Master ( the late), Mechi na Tambaza + Biological weapon= *****, Umoja, Ujamaa, Mapinduzi 3, Battle. Wapi Mzee ZE KICK? Endeleeni nitamaliza bureeeeeeeeeeee!
umemsahau na Ogesa mhehe mwenye roho mbaya, wali kwa mama pendo (rip) mihogo mwisho wa lami, kuwahi rowcall unapandisha kilima cha baghdad kwama tambarare, kutega mingo kisumu na kigogo fresh,kusikiliza bongolevar dukani kwa mwombeki,mihogo na chai ya kununua maabara ya agriculture, toilet mpaka uvue nguo zote maana ukiingia na jezi unatoka unanuka kinyesi,duh balaaaaaaa,fungus za pond nomaaaaaa
 
hahahaha! wewe ulikuwa wa day nini?
 
Duh!..nilitegemea nikute mapicha ya maana mtaa huu kumbe hata habari picha zinaruhusiwa..haya tena wazee wa kukoga Mwisho wa lami na Gongolamboto jimwageni hapo.

Ngoja nimsadie hii picha moja ya mwalimu wetu mpendwa king mabags

189795_1941082851631_1379248122_2262590_1285181_n.jpg
 
Mi nakumbuka kupigia misele wale mademu wa taasisi jioni... Ndio chakula pekee ya urahisi iliyokuwa inapatikana maeneo ya pondi otherwise inakubidi u-DROP kwenda town.
 
umemsahau na Ogesa mhehe mwenye roho mbaya, wali kwa mama pendo (rip) mihogo mwisho wa lami, kuwahi rowcall unapandisha kilima cha baghdad kwama tambarare, kutega mingo kisumu na kigogo fresh,kusikiliza bongolevar dukani kwa mwombeki,mihogo na chai ya kununua maabara ya agriculture, toilet mpaka uvue nguo zote maana ukiingia na jezi unatoka unanuka kinyesi,duh balaaaaaaa,fungus za pond nomaaaaaa

hahaha lu maisha ya hiyo shule ni balaa lakni uzuri vijana wanafanya vzri kwenye final exams
 
Hey!!!!! Pugu Boyz, wa miaka ile ya 90's and B4, Tukumbushane mambo mbalimbali. Naanza, Pondi, Fugus, Mwl Msungu ( Hayati), Mabagala, Songombingo, Juma Wasiwasi-Nidhamu, Nyau, Mzava 2nd Master ( the late), Mechi na Tambaza + Biological weapon= *****, Umoja, Ujamaa, Mapinduzi 3, Battle. Wapi Mzee ZE KICK? Endeleeni nitamaliza bureeeeeeeeeeee!
Dah! Aisee! Kumbe humu ukifanya mchezo unaweza kugombana na mtu kumbe anaweza akawa mkweo.
Umesahau Beto mkuu.
 
maisha ya kungojea uda na chai maharage toka kisarawe pale kwa mzee wa shamba ili kwenda town..na ukitoka town unabeba kidumu cha maji ya kunywa lita tano...ilikuwa bonge la deal....maisha ya scramble za menyu na n.k
 
Daaaah ebwana Nzoi pale physics masuala ya practical na Mkandawire na Chemia.....................duuuuuh waaaaaapi Busanji......khaaaa unataka kuiba maji ya kuoga unakuta mwana kaweka c#h#u#p#i

Aaaaargh mi nalala kama vip uje unifufue banaaaa.....................ol gud days
 
kimatchebox aka kiberit. . . . . . .mzee wa sokomoko!
 
uaisahau wali unavyogombaniwa, kama ilikuwa zamu yako jana kuosha madish na hukuosha then sikuhiyo huli.......
 
Dah!Mmenikumbusha Mzee Mtera(aliwahi kuwa H'master kitambo) na mkewe mama Mtera(former biology teacher) walifariki wote kwa pamoja juzi tu hapa.
Mmesahau dom la Mapinduzi tulivyokuwa tukilitwaa kombe la mbuzi kila mwaka kwenye inter-dormitory competitions.Kwa wanaokumbuka enzi za kina Sarwat(chemistry), Nzoy,Charwe,Muyenge,Swai,Mnzava na wengine kibao.
 
Enzi za disco na mabinti wa Zanaki na Jangwani na maigizo ya Mzee Wasiwasi kipindi ya UMISSETA.Kipindi kileee tunaletewa ngoma za kibisa na maigizo usiku kiingilio Ths 50/=.
 
Hivi Sarwat alikuja kufundisha chemistry? Halafu Azimio walikokuwa wanakaa wastaarabu. Halafu nyinyi mlilima mananasi, mihogo na migomba kule chini au nyie wa juzi tu?
 
umemsahau na Ogesa mhehe mwenye roho mbaya, wali kwa mama pendo (rip) mihogo mwisho wa lami, kuwahi rowcall unapandisha kilima cha baghdad kwama tambarare, kutega mingo kisumu na kigogo fresh,kusikiliza bongolevar dukani kwa mwombeki,mihogo na chai ya kununua maabara ya agriculture, toilet mpaka uvue nguo zote maana ukiingia na jezi unatoka unanuka kinyesi,duh balaaaaaaa,fungus za pond nomaaaaaa

dah kweli ww ulisoma pugu. Nilipiga pale 1999. Hv mama pendo alikufa? Dah halafu J. Wasi wasi yupo Moevt pale,
NILIKUA NAKAA UJAMAA 5.

Mkandawile nae aliondoka.

Mpaka sasa nakumbuka maandishi ya pale Admin's block ''DOCEBIT VOS OMNIA''

wapi James Chiggs, Thuwein Makamba? Hawa walikua mabest wangu na Sospeter sijui nani vile mtoto wa Kibaha.
 
Bi Mzura
Makwantiti
Mama Inda

Wapi Mzee Mwera
Mabaga
Mzee Shoki

Battle
Pondi
Maendelo pale ndo mjini.
Mapinduzi ndo kilage kwenyewe.
 
Back
Top Bottom