salumallya
Member
- Aug 13, 2015
- 77
- 4
Police trafiki je ni majanga kule. Ukifanya biashara ya bidhaa ya jumla toka china hailipi km utrafki tz
Kabisa Mkuu, huwezi kuwa mkuu wa Nchi halafu unafanya kazi kama wale maaskari wa barabarani wenye zile tochi........ngoja tuone lkn bado ni mapema sana kumpima Mheshimiwa Rais
Lakini Mkuu NN, Hakuna ofisi muhimu iliyopo Ruvuma, Simiyu au Kigoma labda halmashauri tu.
TRA, Bandari, LGAs
Kwa hiyo kwa akili yako unadhani anakurupuka??!!!!!
Watch the show. . . . . .
Oh yeah, huko hakuna Watanzania wanaotegemea huduma zitolewazo na serikali?
Kwa mfano, hakuna magereza huko? Hakuna hospitali za serikali?
arudi ikulu akae,atume watu waende wampelekee taarifa,kinyume na hapo anapoteza muda!tatzo la muhimbiri ukiacha uzembe,ni uwepo wa mazingira mabovu ya kazi na bajeti finyu toka wizarani,aanzie juu ndo aje chini
Akakague kile kivuko cha Mv Bagamoyo kwanza
Ni kweli mkuu, lakini kwa Magufuli huyu hawezi zunguka kote. Labda tusubirie atakapounda baraza lake
Kama kwenye kampeni alizunguka nchi nzima na kuhutubia kwa nini ashindwe kwenda kuwapiga matukio?Ni kweli mkuu, lakini kwa Magufuli huyu hawezi zunguka kote. Labda tusubirie atakapounda baraza lake
Akakague kile kivuko cha Mv Bagamoyo kwanza
Kabisa Mkuu, huwezi kuwa mkuu wa Nchi halafu unafanya kazi kama wale maaskari wa barabarani wenye zile tochi........ngoja tuone lkn bado ni mapema sana kumpima Mheshimiwa Rais
Hata Kama We Taahira Saa Nyingine Ufiche
Mkuu punguza jazba, hakuna sehemu niliyosema amekurupuka.......nimeongelea atakuwa anavizia hivi mpk lini, mbona matatizo hayo yanafahamika miaka yote kuwa kuna shida katika sekta ya afya, binafsi nampongeza kwa alilofanya maana ni uamuzi mgumu, lkn sioni kama kuna cha ajabu hapo maana hata kama angetoa taarifa bado anagekuta hiyo mashine ni mbovu na wagonjwa wamelala chini.