Recent content by prudence nkamwesiga

  1. P

    Tambaza Taifa Kubwa!!

    kwa taarifa, papa Msofe, Sam Ruhuza katibu NCCR, na mkt wake mh Mbatia ni product za Tambaza
  2. P

    Waraka: Kanisa Katoliki laandaa waumini uchaguzi 2010

    Nakubaliana na wengi wenu kuhusu makwaia, inapokuja mijadala inayohusisha mambo ya dini,anakuwa tayari amechagua upande, na anapenda kuwaongoza washiriki kuelekea upande anaousupport, kuhusu mzee wa upako, nilivyo muona, mada kama zile zimempita kimo.Mwisho mimi namuona mzee makwaia akiendesha...
  3. P

    Nataka kumfungulia........ Mashtaka

    swali lako halieleweki vizuri, lakini kama untaka kufanya kama Kenn Starr alivyofanya katika kesi ya Bill Clinton haiwezekani. Pia naomba kutofautiana na mpandafarasi, kuhusu kesi anazo fungua mtikila dhidi ya serikali. Utaratibu wa kuwashitaki watu binafsi ni tofauti na ule wa kuishitaki...
  4. P

    Nataka kumfungulia........ Mashtaka

    swali lako halieleweki vizuri, lakini kama untaka kufanya kama Kenn Starr alivyofanya katika kesi ya Bill Clinton haiwezekani.
  5. P

    Effective Internal Auditors

    majibu uliyopewa ni mazuri ingawa hayajitoshelezi,nakubaliana nawewe uliposema kuwa who the IA reports to is one aspect of their independence.Lakini unashangaza ulipoambiwa na the learned brother kuwa " you might be charged for work" ukaongelea accountant na mambo ya sales, Kuna mambo mawili...
  6. P

    Yona na Mramba: Mashtaka na yatokanayo

    Dhamana ni swala la mahakama siyo la magereza. Hakuna sheria iliyokiukwa kwani dhamana ni haki ya kikatiba ya kila mtanzani (article 13(6) (b) of the Constitution of the URT.Sheria ipo soma Criminal Procedure Act 1985, R.E 2002 section 148
  7. P

    Tanzania is proving to be a liability in EA integration

    Jambo la kushangaza hapa ni kwa wenzetu kufikiri sisi hatutaki ushirikiano, sisi ni wavivu wa kufikiri na tuko slow. Vile vile kwamba sisi ni masikini.Ninachoomba wajue, sisi ni watu makini sana. Tunajaribu kuwa waangarifu, jirani zetu hawa wenye akili tunawafahamu, tunawapa nafasi wajiulize...
  8. P

    January Makamba na blog yake

    January ameleta vitu tofauti ingawa sijajua malengo yake na anafanya kwa faida ya nani.Jamiiforums nanyi mngebadirika, siku hizi mnaonekana kama watu wanaopoteza mwelekeo! mnapoteza mvuto!
  9. P

    Abdulrahman Kinana Na Artumas

    Kuhusu mwana sheria kutosoma, utakuwa unamwonea, as " a monkey does not determine an affair of a forrest"
  10. P

    Natafuta Mme !

    mali na shamba mtu hupewa na baba yake, mke mwema mtu hupewa na mungu.
  11. P

    Juu ya OIC na Mahakama ya Kadhi

    wanaoitaka, miongoni mwa hoja wanazokuja nazo ni kwamba zilitambuliwa hata na wakoloni wa kiingereza. Ningependa tujiulize kuwa,Je? kuna jambo ambalo wakoloni walilianzisha au kuruhusu kwa nia njema ya kumsaiadia Mwafrika?au ni kwa maslhi yao?
  12. P

    Wafanyakazi wa Ndani: Je, Hausigeli Huyu Ana Kosa?

    haiwezi kuwa ni bona fide claim of right?!
Back
Top Bottom