shule hizi tu zinawatosha aisee watu mnaozaliana haraka kama nini nyie? vyuo je, mtabakiwa na cha morogoro ambacho hata hakitambuliki?
angalieni jamanie, acheni tu tuishi hivihivi kama tunavyoishi, tukianza kusambaratika, hakina nakwambia patakuwa padogo. sadaka zetu tu makanisani zinaweza kujenga mashule kibao, angalia television, nyie msikitini hamtoi sadaka? mbona hata tv moja hamna? mnazo radio tu kama radio kheri na radio kuran ambazo kuna watz hapa hawajui kama zipo duniani hapa.
safari ndio hiyo, njia yeyote mtakayopita hapo ndio mwisho wake, hakuna zaidi ya kuwatusi na kuwabeza waislam humu JF, hivi kama hawana shule na hospitali kwani yanawahusu nini, kuutafuta undani usiokuhusu, hakuna ya maana ya kujadili, Haya ndio matumizi ya hizo elimu mlizonazo?
mchukue kila muwezacho hata Mlimani ikiwezekana, tuone hao waislaam watakavyokosa elimu mbona hiyo ndio itakuwa faraja yenu sasa maneno yote ya nini! kizuri chajiuza kibaya chajitembeza hatuhitaji kuwa na media lukuki kutafuta waumini