Recent content by Pendaneni

  1. Pendaneni

    Kwa maumbo yenu, style, zenu, mavazi yenu ndiyo yanachochea promotion ya kuruka ukuta

    Kumridhisha mwanadamu ni kazi ngumu sana. Mwanadamu hatosheki, hata ukimpa nini milele hatoridhika.
  2. Pendaneni

    I love my Dady!!! Ingekuwa wewe ungemfanyeje mwanao

    Inaonyesha how much anampenda dad yake, mie ningemsamehe kabisaa....... ila ningemwonya asirudie tena. Unaweza mpa kichapo akalia kwa uchungu ukafika barabarani likawa kushnei kabisa.
  3. Pendaneni

    Nilimficha mke wangu kuhusu mtoto wangu wa kwanza

    Umefanya vibaya sana kumficha mkeo kuwa una mtoto, na umeshamficha mangapi mpaka muda huu? Ni vigumu mkeo kukuamini kwa 100%, ni vema kuweka mambo yako wazi toka mwanzo, itakusaidia sana. Wahenga walisema "Mficha maradhi kilio humuumbua". Mwombe sana Mungu mkeo akuelewe, kwa akili zako hutaweza...
  4. Pendaneni

    MBEYA: Walimu warekodiwa Video, wakimfanyia unyama Mwanafunzi

    [Yaani hii video imeninyima raha kabisa!! Ni kosa gani hilo la hivho kipigo? Hivi huyo mwalimu yeye alipigwa hivyo akafika hapo? Uwiiii! God have mercy on us! Nimelia sana sana. Hawa walimu wanatakiwa wapewe kifungo cha maisha!
  5. Pendaneni

    Misemo ya Mpoki jamani!

    MC msibani hapigiwi makofi
  6. Pendaneni

    Mtoto wa kidigital

    Hao ndo wale watoto ambao hawajui kusema baba, wao wanajua neno la dad!! Full kidigital!!
  7. Pendaneni

    Pale mtu wa kabila hili anapokwenda haja

    Hahahahhahaha! Daaaah! Ya Mpare balaa......sasa si anakalia dimba kabisa!! Hahahahahaha!
  8. Pendaneni

    Kwanini baadhi ya wanaume hawanyoi nywele za makwapa?

    Next time ukiwa nae au ukiwa nao waulize mbona hamnyoi? Nahisi watakupa majibu. Katika hao wengi uliza watatu wanatosha.
  9. Pendaneni

    Faida za kulala uchi

    Nalala na nightdress basi....simple dress lakini no chupi....hunishauri ng'oooo
  10. Pendaneni

    Ushauri: Mwanamke wa nje ananichanganya

    Hivi kina dada wenzangu? Mtu ana mke wake na mtoto, unatoka wapi kumwambia unampenda? Unataka nini kama sio laana kwa Mungu? Angekuwa mumeo ungekubali kufanyiwa hivyo? Hivi huwa mnajaribu kuvaa uhalisia wa mwanamke mwenzenu kabla ya kuchepuka na waume zao? Kina dada mbona hivyo? Na wewe mkaka...
  11. Pendaneni

    Faida za kulala uchi

    Kwa kweli hata mimi huwa napenda kulala uchi kabisaa, hata chupi ni mwiko. Jamani mwili nao unahitaji hewa. Kutwa kucha umeufunika na nguo na chupi hata usiku? Nahisi hata kiafya huruhusiwi kulala na nguo inayokubana. Ni kosa kubwa.
  12. Pendaneni

    Siri ya waliotumbuliwa NIDA yaanikwa

    Hivi Membe yupo? Anajishughulisha na nini? Maana hasikiki tena! Vipi na lile jibu sugu la ESCROW? Ilifikia mahali watu wakadharau hadharani kuwa 1 billion ilikuwa ni hela ya mboga!!!! Sasa sijui karudi tena kuchukua hela ya unga au laah!!!!!
  13. Pendaneni

    Mapenzi yananitatiza

    Miss Chagga wahenga walisema 'mapenzi ni utumwa' na kupenda ni maradhi omba sana yasikukute! Maana hayo maradhi hayana tiba asilani....... Mafikizolo sasa unanishauri niachane na mapenzi nifanye nini zaidi!! Siwezi kuukataa uasilia jamani!
  14. Pendaneni

    Mwanamke, kumchuna mumeo ni sawa na kujiibia mwenyewe!

    Kama mwanamke anachepuka basi jua hatimiziwi kimwili......mwanamke akufuata pesa, gari wala nyumba kwako, alikuwa na kila kitu kabla hujamuoa......sasa kama unamtimzia kila kitu na kitandani performance ni zero hapo lazima house boy au shamba boy au huyo dereva uliyesema ajazie yale mapungufu...
  15. Pendaneni

    Wadada: Acheni mahusiano na waume za watu

    Ziltan hiyo kali, kumbe Bachelor wengi ni mizigo kitandani!!!Daaah! Ndio maana wanaume walioko kwenye ndoa wamegeuka mabuzi,,,,wanawake wanalia vilio ambavyo ni laana kwa hao kina dada wanaoharibu ndoa za watu. Na pia nahisi pia vijana wengi hawapelekwi jandoni (kufundwa namna ya kuishi na...
Back
Top Bottom