Faida za kulala uchi

Faida za kulala uchi

Kwa mwanamke kulala Uchi wa mnyama, ni Hatari kwa afya yake kwenye Ulimwengu wa Roho. Inasadikika kuwa asilimia zaidi ya 80 ya wanawake wanao lala Uchi, licha ya kuingiliwa na Majini Mahaba, pia ndio Muda pekee Spiritual Husbands hupata nafasi ya kuwasawili Maumbile yao na wakigundua kuwa wanavutiwa kimaumbile, basi hawa spiritual Husbands huamua kufanya Makazi ya kudumu kwenye Mwili wako wewe dada unayependelea kulala Uchi wa mnyama kwa kisingizio cha Joto or something else.

Mara baada ya Huyu spiritual Husband kuhamia na kufanya Makazi kwenye Mwili wako, hutoka na kwenda kuwasimulia wenzake. Kinachofutia. Hukaribishana na kuanza kukuzalisha Spiritual Kids(Yaani ww unafanyikia kama kiwanda cha kuwazalia wao Watoto)

Ndio maaana Baadhi ya wanawake usiku huota wakiwanyonyesha watoto usiku, huku kiuhalisia akiwa Hana hata Mtoto.

Yako Mengi ya kuyaelezea hapa. Ila ngoja Mshaja JR naye aje atoe somo kuhusiana na hiki nlichokieongea hapa.
Huu ni uongo sidhani kama kuna kinachoweza kuzuiliwa na Nguo ktk ulimwengu wa Roho.
Labda urudi udadavue zaidi.
 
Mnh.. kulala uchi maisha ya uswahilini unaweza kuamka umevunjiwa yai au ukaamka ushapigwa rungu
 
Back
Top Bottom