ERoni
JF-Expert Member
- Jan 9, 2013
- 55,278
- 129,655
Hapa lazima theories nyingi zitaletwa, ikiwa ni pamoja na "uhuru wa kufanya watakayo". Lakini kulala na mke/mume wa mwenzako sio heshima hata kidogo.
Mwingine anasema "ili mradi nipo happy" sijali watu wanawaza nini. Anyways, dunia imeharibika, maasi yameongezeka, uchafu, uzinzi na uasherati ndio fasheni, ugumu wa maisha nao unachangia watu kutokuwa waaminifu, malezi mabovu, tabia mbaya za wazazi vyote vinachangia kuona kama haya ni mambo ya kawaida kwa kizazi chetu.