Abu Haarith
JF-Expert Member
- Oct 16, 2015
- 314
- 165
Mtoto : baba naomba maji
baba : yaani unanituma mimi ebu njoo uchukue
mtoto : niletee bhana
baba : nitakuja kukupiga wewe
mtoto : ukija kunipiga njoo nayo basi
baba : yaani unanituma mimi ebu njoo uchukue
mtoto : niletee bhana
baba : nitakuja kukupiga wewe
mtoto : ukija kunipiga njoo nayo basi