RRONDO
Platinum Member
- Jan 3, 2010
- 60,090
- 137,983
Aisee....kuna kitu nime-note hapo!
Aisee....kuna kitu nime-note hapo!
Ya waliofeli bdo maana kama askari nao .ndo mana wana akili ndogo ktk kutatua matatizo wao ni kupiga tu wanadhani ndo wanamjenga kumbe wanamkomoa na kuzidi kumjenga kichuki badala ya kirafiki.Fani ya ualimu inaonekana inatatizo kidogo.
Hiyo nimeicopy kwenye page za nyuma iliwekwa na mdauAisee....kuna kitu nime-note hapo!
Ww ni mwalimu wa shule gani mkuuHivi vianafunxi vya kiume vikishakua na demu shuleni vinajifunxa kudindia walimu adhabu.
Angekua na adabu akakubali yaishe yasingemfika hayo.
Na hiyo ndio dawa yao.
Hao haki inawasubiri mtaani.....wote walioshuhudia bila kumtetea dogo ambaye kimsingi amefanyiwa ukatili wa hali ya juu. Mko wapi mnaotetea haki za watoto?
Hii ni lugha gani umeandika hapa?Ww ni teacher unaonekana tena ulitefeli channe na ukaunga kama hujanunua cheti
MUNGU wangu kijana wa watu! mtu anaepigwa masikioni na kichwani lazima aathirike sana.....na macho yamepoteza uwezo wa kuona.
Madaktari wanasema yamevilia damu na la kushoto mshipa umekatika
Na bora jpmmm kawakomesha hakuna mchango mana kazi yao ilikuwa ni kuchapa hela ya mtihani na ambao hawajaja twisheni hakuna kufundisha.Wamemtoa Wenge.
Walimu wana-stress.
Supermarket.Sidhani km alikuwa na lengo la kuifikisha kwenye mamlaka husika..nahisi ni baada ya kusambaa kwenye mitandao ya kijamii (walimu wanalindana na kusaidiana wana umoja) usikute saa hizi huko alipo anajuta kurekodi hiyo video
Ww unajisifu tu kwa ujinga kwani akiongea yanakuhusu nn ww .fundisha mtt afaulu ndo kazi yko.au uliongea na simu mambo ya ngono ndo mana ulifeli ukakimbilia ualimu.Wengi wanakurupuka tuuu,na ndo maana mitoto ya siku hizi haina adabu,unakakuta kabinti ka shule kanaongea na simu mambo ya kingonongonooo,na kamekaa kingonongono tuuu kisa hawa walezi wanaocomment humu.Vivulana vinajifanya vitemiiii na kuwadharau walimu kisa baba yake ana ka passo na pick up.kama ni mimi nakunyoosha kama nyoka na niliwahi fanya hivo kwa dogo mmoja hivi shule moja Mbez huko.Alipoleta ujuaji nilimfukuzisha shule jumla,Sipendagi ujinga mieee
Unyama unafanyika shule zote za serikali maana hakuna namna,mtoto wako peleka shule binafsi.Hawa waalimu waliofanya unyama huu ni wakufuatiliwa na vyombo husika,wafikishwe kwenye vyombo vya sheria.
Ziko adhabu zakumpa mwanafunzi lakini sio waalimu wanne kwa mwanafunzi mdogo kama huyo.Na yuko Mwalimu wa kike anayeunga mkono aendeelee kuteswa mwanafunzi huyu,naye aunganishwe na hawa,inasikika sauti yake,wakati mwenzake wa kike akikataza asiendelee kuteswa.