I love my Dady!!! Ingekuwa wewe ungemfanyeje mwanao

I love my Dady!!! Ingekuwa wewe ungemfanyeje mwanao

mbere

JF-Expert Member
Joined
Mar 5, 2015
Posts
6,967
Reaction score
6,469
1476770310508.jpg
 
ingeniuma sn lkn nicngemuadhibu kw maana ameonesha upendo wke kwng [emoji23][emoji23][emoji23] ningemwambia tu nxt tym awe anachora ata ukutani ila sio kwny magari
 
Inaonyesha how much anampenda dad yake, mie ningemsamehe kabisaa....... ila ningemwonya asirudie tena.
Unaweza mpa kichapo akalia kwa uchungu ukafika barabarani likawa kushnei kabisa.
 
Kibongo bongo angeambiwa nenda kamtafute mama yako alipo hapa siyo kwenu!
 
"Ningemuacha tu" ni neno ambalo halitekelezeki kwa wabongo wengi, hasa tukifikiria machungu tunayoyapitia katika kulisaka hilo gari mpaka kulimiliki
 
Kwangu mimi mwanangu ni wa tatu baada ya Mungu,Mama,anafuata yeye hata angechoma nyumba moto achilia mbali kukwaruza gari love niliyonayo kwake haitakaa kubadilishwa na kitu chochote mpaka naingia kaburini
 
Ana thamani kuliko hiyo rangi ni kiasi cha kumuelewesha tu vinginevyo tutakuongeza penye ule uzi wa ukoloni tulio fanyiwa na wazee wetu mambo yanabadilika sio kila kitu unaenda kuchukua henzerani na kumpa mkong'oto dogo au yale makofi ya kelbu kisha unamalizia blalifuli
 
"Ningemuacha tu" ni neno ambalo halitekelezeki kwa wabongo wengi, hasa tukifikiria matungu tunayoyapitia katika kulisaka hilo gari mpaka kulimiliki
Mwaka jana nikiwa nimeenda Xmas home. Mtoto wa kaka yangu alifanya hiyo kazi kwa kushirikiana na rafiki zake. I just looked at his age, basi nikakumbuka kuwa nami hiyo kazi nimefanya sana wakati wa utoto nikiwa na kaka yangu kwenye kuta na vitabu vya mzee. Hizo alama za utoto wetu bado zipo hasa kwenye vitabu vya mzee tulivichora sana. There after nikajisemea kuwa huyu ni mtoto may be Mungu ananikumbusha kuwa this is a must path. Baba nae akasema huu ni mwanzo tu expect more, nikaishia kucheka
 
Back
Top Bottom