Recent content by patriot1

  1. patriot1

    Watanzania waliopo nje ya nchi watapataje vitambulisho vya Taifa?

    Kinapatikana mkuu acha ubishi. Ingia website ya NIDA www.nida.go.tz tafta sehemu imeandikwa online copy nadhani hapo itakuomba uingizie hiyo NIN yako na kisha kuna maswali utajibu ukiyajibu inavyotakiwa unapewa link ya kudownload kitambulisho chako. Ila lazima uwe na namba ya utambulisho(NIN).
  2. patriot1

    Nunua bidhaa kutoka Mataifa 15 ikiwemo USA, UK, UAE na China sasa

    Itachukua mda gani kunifikia?
  3. patriot1

    Wanigeria wazuia ndege ya KLM isiruke ili mwenzao aliyefungwa minyororo atelemshwe

    Yani hapo ndo utawapenda hawa jamaa huwa ni very aggressive hasa wanapodai haki zao huwa hadi kieleweke unlike all east Africans
  4. patriot1

    Je, wanachoniambia UPS ni sahihi?

    Iwapo angetumia posta yani normal postage? Does it include DHL, EMS au only restricted to Posta?
  5. patriot1

    Ni wakati wa Vodacom kutumbuliwa,wamezidi kututapeli

    Hilo la postpaid nenda karipoti kwenye taasisi yako inayokulipia ambayo iliingia mkataba na vodacom wa huduma hiyo, wawaandikie vodacom kuhusu hiyo concern na kuwataka wawatoe kwenye hiyo option ya smart bundle ili uwe unapata menu ya kawaida. Else mtumie mtu salio akuunge na kifurushi cha...
  6. patriot1

    Ni wakati wa Vodacom kutumbuliwa,wamezidi kututapeli

    Pelekeni malalamiko yenu TCRA ndiye mdhibiti wa mawasiliano na yatafanyiwa kazi.
  7. patriot1

    Kilimo cha Mihogo (Cassava): Mbinu, Ushauri, Changamoto na Masoko yake

    Changamoto za kilimo fukayosi wamang'ati wana pitisha mifugo sana. Unless una ekari za kutosha. Kwa ekari mbili wanaweza kuwa wanaachia mfiugo tu. Ila ukiweza weka mlinzi safi.
  8. patriot1

    Mwanamke/mwanaume kufika Kileleni, vizuizi ni hivi...

    fata link hii kuna maelezo hayo kwa video pia. Penis enlargement exercise videos completely free
  9. patriot1

    MGOGORO: Malumbano ya UVCCM, Viongozi wastaafu na Hatima ya CCM

    Labda kwanza nianze kwa kusahihisha jina lake,haitwi Sabato Nyamsano anaitwa Sabato Nyamsenda.Ni mwanafunzi wa mwaka wa tatu B.A Political Science and Language(French) hapo UDSM. Ni Mzanaki toka Butiama(kama mwl Nyerere).Ni kijana makini sana tangu darasani hadi nje ya darasa.Amekuwa mstari wa...
  10. patriot1

    Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

    huyu mnyama haangamiziki kwa kweli mashetani yana wakati mgumu sana msimu huu...
  11. patriot1

    Kwa nini usomi wetu ugeuke kuwa laana kwa Watanzania?

    shida kubwa twapenda kuiga iga sana,madhara yake ni hadi kiama kama hatutabadilika.Ni wataalam wa kudurufu kila kitachopendeza machoni petu.
  12. patriot1

    Rais Mstaafu Benjamin Mkapa atajwa katika kesi ya kina Mramba

    haya mambo si lazima yaende haraka kama kila mtu anavyofikiri ni mambo sensitive na ndo maana hata serikali itapochukua hatua yoyote haipaswi kupelekwa na hisia tu jamani tuipe mda...
Back
Top Bottom