Ni wakati wa Vodacom kutumbuliwa,wamezidi kututapeli

Muhame hukoo kila siku mnalalamika nyie tu,ela yenu itawatia uchizi na hiyo kampuni ya makaburu.
 
MIMI NDO NINALIA. NINAPATA AIRTIME YA POST PAID KUTOKA KAMPUNI YANGU. SASA UKIINGIZ KUANGALIA SALIO LA KIFURI KWA KUANDIKA *149*01# HALAFU UKAENDA INTERGRTAED SMART BUNDLES HALAFU UKAENDA BANDLO ZA MWEZI HALAFU UKAGONGA KUANGALIA SALIO BASI WAO WATAKULAZIMISHA KUNUNA TALK BUNDLE YA ELF 50 KWA MWEZI . nA UKIANGALIA SALIO LA INTERNATE BUNDLE BAS WAO WATALAZIMISHA KUNUNU BUNDLE YA MWEZI YA INTERNATE YA SH 10,000 MPAKA 20,000. nIKO mOROGORO NA NIMEENDA vODA SHOP WANABAKI KUNIAMBIA MIE NDO LAZIMA NIMEKOSEA KUNUNUA OPTIONS. kWA SASA NINADAKIKA 700 KWA AJILI YA MWEZI MMOJA NA NI NA BUNDLE 5 gb KWA MWEZI. HAYA MATUMIZI TUMALAZI,ISHWA KUNUNUA BILA KUTAKA.

PIA UKIHAMISHA PESA KUTOKA NMB KUJA MPESA... ILE PESA UTAAMBIWA UENDE ATM UKATOE KWA KUTUMIA NAMBA YA SIRI WALIOKUPA.UKIWA HUKO VIJIJINI AMBAPO HAKUNA BENK NA ATMA BASI UNAKUWA UMEPOTEZA. HALI NI MBAYA SANA WATANZANIA WANAIBIWA NA VODACOMU KULIKO MAELEZO. HADI SASA VODACOM HAWAJATOA HATA TAMKO LA KUKIRI SHIDA ZINAZOJITOKE. TACRA NAO NAHISI WANAHONGWA KWANI HADI HIVI SASA HAWAJATOA TAMKO LA KULINDA WALAJI LICHA YA MALALAMIKO KUWA MAKUBWA
Hilo la postpaid nenda karipoti kwenye taasisi yako inayokulipia ambayo iliingia mkataba na vodacom wa huduma hiyo, wawaandikie vodacom kuhusu hiyo concern na kuwataka wawatoe kwenye hiyo option ya smart bundle ili uwe unapata menu ya kawaida. Else mtumie mtu salio akuunge na kifurushi cha kawaida toka kwake lakini kwa salio ambalo limetoka kwako(work around).
 
Back
Top Bottom