Hongera sana mkuu.. mimi yawezekana nisijibu swali lako ambalo unataka ujibiwe ila napenda kujua upatikanaji wa maeneo huko kama eka kumi itanigharimu shilingi ngapi? maji ni ya kuchimba au mito ipo karibu? na vipi majirani nikianzisha hog fam (kitimoto). msaada please
Asantee. Mkuu huko hamna shida ila umakini ndio wahitajika pia maji ni shida.hivyo utatakiwa kuchimba kisimaHongera sana mkuu.. mimi yawezekana nisijibu swali lako ambalo unataka ujibiwe ila napenda kujua upatikanaji wa maeneo huko kama eka kumi itanigharimu shilingi ngapi? maji ni ya kuchimba au mito ipo karibu? na vipi majirani nikianzisha hog fam (kitimoto). msaada please
Maswali mengine uliza wataalam wa kilimo huko kijijini, kwani ndo kazi yao huko sasa humu!Habarini ndugu wana JF napenda kujua je kwa wale wanaofaham kijiji Lusako kule fukayosi je ardhi yake inafaa kwa kilimo cha mihogo / mahindi? Maana nina heka zangu mbili kule nimenunua last month February
Mkuu kuna ekari mbili na nusu opposite na KIROMO SEKONDARI, bagamoyo.Hongera sana mkuu.. mimi yawezekana nisijibu swali lako ambalo unataka ujibiwe ila napenda kujua upatikanaji wa maeneo huko kama eka kumi itanigharimu shilingi ngapi? maji ni ya kuchimba au mito ipo karibu? na vipi majirani nikianzisha hog fam (kitimoto). msaada please
Mkuu kuna ekari mbili na nusu opposite na KIROMO SEKONDARI, bagamoyo.
Acha kua na mawazo mgando.Maswali mengine uliza wataalam wa kilimo huko kijijini, kwani ndo kazi yao huko sasa humu!
Cassava research takes place in various research institutes that are based on the research zones. These include Agricultural Research Institute (ARI) Naliendele based in Mtwara (Southern zone), ARI Kibaha based in Kibaha (Eastern zone), ARI Ukiriguru based in Mwanza (Lake zone), ARI Maruku based in Kagera (Lake zone). Others are ARI Uyole based in Mbeya (Southern highlands zone), ARI Hombolo based in Dodoma (Central zone), ARI Tumbi based in Tabora (Western zone), ARI Tengeru based in Arusha (Northern zone) and ARI Kizimbani based in Unguja.
Sehemu zote hizi mkuu ndo nimeambiwa na wataalamu wa wizara mbegu zinapatikana na pia baada ya hawa jamaa kufanya utafiti wanatoa kwa Magereza kwa ajili ya kuzalisha ili wakulima wanunue kwa wingi sasa. So ukifika kwao japo sina address zao kamili utapata mbegu au maelekezo mazuri.
Mbegu ambazo zimethibitika kuwa na viwango kwa saa zinaitwa Kibaha, Mzungu na Kiroba ambazo ukilima kwa hali ya nchi yetu unweza kupata kati ya tani 10 hadi 20 kwa Hekta.
Nafikiri hii itatoa mwanga kidogo
Mkuu Kwema?Mkuu naanza ujenzi wa kiwanda cha kusindika Rufiji kuanzia Sept na by Jan 2012 nitaanza kununua tani 20 kila siku mihogo aina zote so kama utakuwa na uwezo wa kufikisha tutanunua yote. Michungu na mitamu yote tutachukua kutengezea starch tuna masoko ya nje makubwa na tutanunua bei nzuri tu mkuu.
Maelezo mengi zaidi yapo hapa mkuu
https://www.jamiiforums.com/busines...0-project-funding-sources-10.html#post2118391