sindano butu
JF-Expert Member
- Aug 20, 2012
- 518
- 181
naandika kwa uchungu jinsi gani vodacom walivonitapeli.Tarehe 1/7/2016 nililipia kingamuzi 20000 lakini muamala hukufanikiwa. sasa cha ajabu hela wamenikata lakini ela haijaenda startimes.Okey nimewapigia simu kupitia huduma wateja,Wananiambia niendelehe kusibiria na sasa inaenda wiki tatu.Hivi kweli wakati huu wa HAPA KASI TUUH unamcheleweshea mtu hela yake. Au labda MNAWEKA KASI TUUH KWENYE KUKATA WATU HELA. Lakini voda mkiendelea hivi na hulka yenu mtatumbuliwa kama alivotumbuliwa dr mwaka.