Recent content by Pageja wa pageja

  1. P

    JamiiForums Tanzania Vitambulisho vya taifa!

    Baba yako hana Baba?
  2. P

    JamiiForums Tanzania ACACIA Mining PLC: We do not agree with President Magufuli Committee's findings...

    Mwenye ile video jamaa anatafuna popcorn tafadhali
  3. P

    JamiiForums Tanzania RC Mrisho Gambo: Serikali itaendelea kuwadhibiti wote watakaotaka kuingiza siasa kwenye majanga

    Huyu RC kama yupo humu jamvini ajijue yy ni kilaza sana, tena sana sio kibaya ambacho viongozi wa dini na waandishi wa hbr walichokifanya, mtu kutoa rambi rambi lazima kuzipitishia kwake?mm nataka nitoe directly.Au kuna sheria yoyote inaratibu mambo ya misiba na utoaji wa rambi rambi
  4. P

    JamiiForums Tanzania Wabaya wa 'chorus' bongo

    Ben paul, G.nako,mavocal,Rayvan,Jux unawaachaje sasa
  5. P

    JamiiForums Tanzania Nani atafidia madeni haya NMB?

    Bima haihusiki na mtu kuachishwa kazi au kuacha kazi, bima ina cover mtu akifariki au akipata ukemavu wa kudumu, reasons beyond there Lender inabid adili na mkopaji husika,akishindwa kumpata imekula kwake!
  6. P

    JamiiForums Tanzania KPMG bado wana ule utaratibu wa kuchukua fresh graduates?

    Povu, nishaandaa nguo za kufua bro[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
  7. P

    JamiiForums Tanzania Kikwete ni Rais bora au watu wanamkomoa Magufuli?

    Kabisaaaa
  8. P

    JamiiForums Tanzania Leo nimempa Lift Shetani mpaka Mjini, Nashukuru lakini nimepona

    Weka namba yake ya simu hapa
  9. P

    JamiiForums Tanzania Mtangazaji wa Efm Maulid Kitenge tumekuvumilia vya kutosha na sasa unatuchosha kama siyo kutuboa

    Hahahahahah Mkuuu umetisha, vipi alitoa povu la kutosha na akatakatisha nguo kweli?
  10. P

    JamiiForums Tanzania Mbunge Ezekiel Maige: Nafasi serikalini zilijaa ukabila. CRDB na TRA walijazana wachaga

    Hivi na yy aliwashawahi kunyonyoka Ngozi kama yule waziri?Maana naona uwezo wao wakutoa hoja umekua mdogo sana hata yule dogo alomtoa nishai bashite kwenye english anaeza shika naafasi zao
  11. P

    JamiiForums Tanzania Nani Comedian/Mchekeshaji mzuri duniani?

    Sizonje
  12. P

    JamiiForums Tanzania Msaada; uwepo wa mistari kwenye kioo cha laptop

    Display kwisha
Back
Top Bottom