Nani Comedian/Mchekeshaji mzuri duniani?

Mtafute huyu
fc4b5679366bb138f9101ed4c460cffd.jpg

Anaitwa Charlie Chaplin

Ulete mrejesho
Chaplin had kifo chake ni kichekesho pia.....jamaa mwili wake uliibiwa na waibaj wakataka pesa ili watoe mwili....Waibaji mwili walipo kamatwa baada ya muda wakatakiwa kuonyesha walipouficha mwili...waizi hao wakawa wamesahau walipo uficha/fukia mwili.....ikawa ni kazi ingine tena...Champlin alizikwa mara mbili katk kabur lingine tofauti....Usisahau kuangalia movie yake ya modern times
Mtafute huyu
fc4b5679366bb138f9101ed4c460cffd.jpg

Anaitwa Charlie Chaplin

Ulete mrejesho
Chaplin had kifo chake ni kichekesho pia.....jamaa mwili wake uliibiwa na waibaj wakataka pesa ili watoe mwili....Waibaji mwili walipo kamatwa baada ya muda wakatakiwa kuonyesha walipouficha mwili...waizi hao wakawa wamesahau walipo uficha/fukia mwili.....ikawa ni kazi ingine tena...Champlin alizikwa mara mbili katk kabur lingine tofauti....Usisahau kuangalia movie yake ya INDUSTRY......
 
weee apana cheza na mtu anaitwa Charlie Chaplin

aongei , ye ni vitendo tu utavunja mbavu vbya mno
 
Kuna bush man.....mr bone....calvin wa home alone....my best is champlin and mr bean...pua ndefu.....yale macho yake so amaizing yan zile kope dah sijui anafanyagaje
 
Kwangu ni mr bean ata kama nna bad day naanza kuangalia clip zake basi nacheka mwenyew bt weng wanamsifia chaplin ngoja huyo nae nkamuangalie
 
Back
Top Bottom