Mambo wakaka na wadada....
KPMG (kama zilivo big 4 zingine) huwa wana utaratibu wa ku recruit fresh graduates karibu kila mwaka....
Sasa toka mwezi wa pili nafungua website yao sioni tangazo...
Pia nikifungua job search for location Tanzania, website inani direct Kenya.
Je wakuu, hawa KPMG huwa wanaanza recruitment mwezi upi, ama tarehe zinabadilika....
Application procdure zao zikoje, unafika ofisini kujaza form ama ni online kama walivofanya PWC..
Niambieni kama ni kujaza form ofisini sasa hivi nidandie gari nifike posta ofisini kwao.
Thanks and Regards.