Duh! kweli wazungu wametubeba, anyway, nnavyoelewa mimi dessert (inatamkwa dizet) ni vyakula vinavyoliwa baada ya mlo (wa jioni au mchana) kwa ajili ya kusaidia mfumo wa kumeng'enya mlo uliokula, na mara nyingi inakua ni vitu vitamu (sukari) kama vile keki au chocolate, ice cream au mchanganyiko...