Dua ya swaumu kali

these people dont like jokes when it comes to their religion, I respect them for this...they gonna smash off ur ass
 
Mzima wewe? Au hujui ulichokifanya hapa?

dua ya kusoma kama swaumu imekuzidia;
ya kabaab wal kuku,
yaa sambusa wal chatne,
innal chips wal mayai,
yaa chapati,
wal maji wal ice cream,
yaa juice bariiidi.
Ukimaliza fanya kama unapiga myayo.
Nawatakia swaumu njema!!!
 
DUA YA KUSOMA KAMA SWAUMU IMEKUZIDIA;
ya kabaab wal kuku,
yaa sambusa wal chatne,
innal chips wal mayai,
yaa chapati,
wal maji wal ice cream,
yaa juice bariiidi.
UKIMALIZA FANYA KAMA UNAPIGA MYAYO.
Nawatakia swaumu njema!!!

Acha utani na imani za watu siyo vizuri
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom