Sababu za kukimbia ziko nyingi,ikiwemo hiyo ya kuwahi usafiri,lakini sababu kubwa zaidi niliyogundua ni utaratibu mbovu uliopo wakati wa kushuka,ukiangalia wakati wa kuingia kwenye kivuko kuna utaratibu maalumu,vinaanza vyombo vya moto,(magari,pikipiki,baiskeli) kisha watu ndio wanafatia,lakini wakati wa kushuka vyombo vya moto vinagombea njia na waenda kwa miguu (wanyonge) kiasi ambacho inawapasa waende kwa kasi kuweza kuvipisha kwa usalama zaidi.Naamini kama wakati wa kushuka wangekuwa wanaanza waenda kwa miguu basi idadi ya wakimbia mbio ingepungua sana kama sio kwisha kabisa.Ukitaka kutathimini hilo anangalia wale wanaoelekea kigamboni wakati wakushuka mbele yao hakuna gari la abiria la kuliwahi lakini yawapasa kukimbia ili waweze kuyapisha magari yanayokuja nyuma yao.]hahahah.................hafu hii ni kweli najiuliza sana kwanini uwa wanakimbia?[/B]
alichosema ni kweli.Mpoki noma, kuna hii alitoa hadi leo nacheka, eti ukipenda usipopendwa ni sawa na kusubiri meli airport.
Sawa nakubali, lakini pia inabidi uangalie the people who laugh at this guy's jokes. Do they really have sense of humor or are they just laughing simply because mpoki said something? Kwa kweli tuache utani, these Ze comedy people need some real acting lessons as their acting is so kindergarten. Maybe because I don't live in TZ nakuja once in a while lakini their acting is as pathetic as their political satire. There are some fine Bongo dramas ila Ze comedy kwa kweli nashindwa kucheka, I just feel sorry for them badala ya kucheka.
Una haamu nikuchambeee,nikikuchamba utaliaaaaa!.Mkuu punguza kidogo ukali wa maneno,jamaa atajinyonga.Sooo wht!!! Kuna aliyekuuliza? ....... ndio wale wale mnajifanya ht kuandika kiswahili hamuwezi kumbe hamna ki2. unafanya kazi za ndani huko halafu unajitaaamba na kuwakashifu wasomi wa UDSM.
Sababu za kukimbia ziko nyingi,ikiwemo hiyo ya kuwahi usafiri,lakini sababu kubwa zaidi niliyogundua ni utaratibu mbovu uliopo wakati wa kushuka,ukiangalia wakati wa kuingia kwenye kivuko kuna utaratibu maalumu,vinaanza vyombo vya moto,(magari,pikipiki,baiskeli) kisha watu ndio wanafatia,lakini wakati wa kushuka vyombo vya moto vinagombea njia na waenda kwa miguu (wanyonge) kiasi ambacho inawapasa waende kwa kasi kuweza kuvipisha kwa usalama zaidi.Naamini kama wakati wa kushuka wangekuwa wanaanza waenda kwa miguu basi idadi ya wakimbia mbio ingepungua sana kama sio kwisha kabisa.Ukitaka kutathimini hilo anangalia wale wanaoelekea kigamboni wakati wakushuka mbele yao hakuna gari la abiria la kuliwahi lakini yawapasa kukimbia ili waweze kuyapisha magari yanayokuja nyuma yao.
Siishi Bongo ila kwa sasa nipo hapa huu mwezi wa tatu nakaribia kuondoka tena. Ninajaribu sana kuelewa ni nini haswa watu wanacheka kwenye ze comedy. Kiukweli hata acting yao is pathetic. Siyo kama nakandia ze comedy (maana mtanzania mkimwambia ukweli anadhani unakandia), ila jamaa hawana ishu. Mbona nina enjoy drama series nyingi tu za kibongo na hata comedi za king majuto na mze small zinafurahisha shinda hata hawa ze comedy. Tatizo siyo kuishi nje, ila sioni uchekeshaji wao, ni wa kitoto mno dizaini ya ngumbalu.
ningekuona una mana kama ungetoa maoni ya kuwajenga na siyo kuponda. Ukiwa mzalendo na nchi huwez kuwa unasema vbaya vya kwenu na kusifia vya watu.
ningekuona una mana kama ungetoa maoni ya kuwajenga na siyo kuponda. Ukiwa mzalendo na nchi huwez kuwa unasema vbaya vya kwenu na kusifia vya watu.