Unayo..,? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Unayo..,?

Discussion in 'Jokes/Utani + Udaku/Gossips' started by Bellino, Feb 26, 2012.

 1. Bellino

  Bellino Member

  #1
  Feb 26, 2012
  Joined: Jan 29, 2012
  Messages: 65
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  nyange kamtembelea mke wa cholo maongezi yako hivi..
  Nyange.."hodi shem
  Mke.."karibu shemu
  Nynge.."cholo yupo?
  Mke.."hayupo
  Nyange..shem nikuulize?
  Mke.."ehe
  Nyange.. shem unayo k**¥ma
  Mke wa cholo akashangaa kwa jeuri ."sinaa!! Nyange akaondoka.. Sku ya 2 akaja tena kwa mke wa cholo na swal lile lile akamjibu vilevl sinaa!! Mke wa cholo hakuvumilia akamueleza mumewe.. akahis kuibiwa akajibanza nyuma mlang akamuambia sema unayo
  Nyang."shem unayo k**m.?
  Mk..nnayo
  Ok mwambie cholo aachane na k*m ya mke wangu
   
 2. O

  Optimistic Soul JF-Expert Member

  #2
  Feb 26, 2012
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 205
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Hapo kimenuka! Lol
   
 3. egbert44

  egbert44 JF-Expert Member

  #3
  Feb 26, 2012
  Joined: Mar 17, 2006
  Messages: 361
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35
  Nyuma ya mlango palibaki vumbi tu mpaka leo haileweki Cholo yupo wapi!
   
 4. Vodka

  Vodka JF-Expert Member

  #4
  Feb 26, 2012
  Joined: Jan 5, 2012
  Messages: 909
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 35
  Aha kama sio gongo ni mataputapu alikimbilia apunguze mawazo
   
 5. Bellino

  Bellino Member

  #5
  Feb 26, 2012
  Joined: Jan 29, 2012
  Messages: 65
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  nyuma ya pazia hapatoshi... mke atamuacha cholo...au cholo atakimbia kwa aibu
   
 6. Michael Amon

  Michael Amon Verified User

  #6
  Feb 26, 2012
  Joined: Dec 22, 2008
  Messages: 8,741
  Likes Received: 706
  Trophy Points: 280
  mhmm! mhmm! mhmm!! kimenuka mbaya
   
Loading...