Jamani ni saidieni mimi

Kesi nyingine bwana...nakosa hata namna ya kukushauri kwa kua umeeleza kisa na baadaye ukaweka hata angalizo la "kwanini hutaki kumpa talaka" Endelea kumpenda mkeo...na umjali!
 
mwanaume maamuzi babu,kakuona zoba kaamua akuache afuate mwanaume wa kweli..................................,mmmnh utaletewa magonjwa huyo mwanenu unayekazana kumlinda kwa kuvumilia uozo abaki yatima duniani....shaurilo AMKA,mpe talaka yake....JIAMINI utapata mwingine tatu kama mtoto unaona ni tatizo kumlea mwenyewe mpeleke kwa wazazi wako au ndugu wengine kwani huna makaka na madada jamani wenye familia?jipende ukimwi upo....
 
Swali lako na msaada uliyoomba hafinani !.
Umesema una sintofahamu baina yako na mkeo.
Lakini vigezo havioneshi kama hapo kuna ndoa.
Hivyo nachelea kutoa ushauri kwa mahawara.
 
Mkuu na wewe una makosa sana...Wewe ulioa au uliolewa..fanya review ya muenendo wa tabia zako na majukumu yako kama mume ndani ya nyumba.Je unayatekeleza ipasavyo?...Mke anatoka asubuhi anarudi usiku saa 6 au harudi kabisa wewe unachekelea tuu. eti unampenda sana... alichokuambia yuko sahihi kabisa, ni kweli humpendi au kumjali kama unavyojiaminisha. ungekuwa unampenda ungefuatilia nyendo zake na kutaka kujua anapotoka nyumbani asubuhi anakwenda wapi au analala nje ya ndoa analala wapi. Mpe chake aendelee na ustaarabu wake. umeshindwa majukumu yako kama mwanaume ndani ya nyumba akawa yeye ndo mwanaume. kuna kitu ambacho kilimfanya awe anafanya hayo anayofanya ili kukushitua ujitambue lakini bado ameona haisaidiii...inawezekana kabisa alikuwa analala hata kwa ndugu wa karibu na ushahidi watakupatia ili waone unachukulia vipi muenendo wa mke kama mume ndani ya nyumba. Acha kutuangusha wanaume wenzake mkuu. simama kwa miguu yako mitatu...

mi nazani wee ni punguwani, ambae ustaili kupoteza muda wetu kwa kuchangia upunguwani wako,mke analala nje auulizi kisa unampenda;>?yhunshdjwuZako we

we ni pimbi!

Wewe pia una matatizo, yaani mwanamke anarudi muda anaoutaka yeye unasema ni mtu mzima huna haja ya kumuuliza, suala la utu uzima hilo alikuwa nalo toka alipofikisha miaka 18 vinginevyo usingemuoa,, acha kuwa mwanaume suruali.Anyway mimi sikushauri muachane kwani tayari mna mtoto na mkeo anaweza kukaa chini na kutulia kama mtazungumza, zungumza nae vizuri mrekebishe pale ambapo yeye anafikiri pana tatizo ina wezekana kweli wewe humjali na hapo lazima ashtuke.Tenga muda wa kukaa na mkeo yanawezekana kuna mengi yanamsibu na anashindwa kukueleza just because anakuona hujali na hilo ni tatizo, kwa hiyo anakosa mtu wa kumueleza mambo yake na wa kumuamini.Badilika.

Wewe **** kweli ka vipi vaa magauni tena ukome kuekezea,upuuzi kama huo hapa una
wadhalilisha wanaume wenzako

Unaweza kukuta hata huyo mtoto siyo wako fungua turbo ya kichwani acha udandala .

mwanaume maamuzi babu,kakuona zoba kaamua akuache afuate mwanaume wa kweli..................................,mmmnh utaletewa magonjwa huyo mwanenu unayekazana kumlinda kwa kuvumilia uozo abaki yatima duniani....shaurilo AMKA,mpe talaka yake....JIAMINI utapata mwingine tatu kama mtoto unaona ni tatizo kumlea mwenyewe mpeleke kwa wazazi wako au ndugu wengine kwani huna makaka na madada jamani wenye familia?jipende ukimwi upo....

eeeh! Haya makubwa sana.
Naona hiyo inataka kuwa fasheni Mwanza.
Ni nini kimetokea jamani?

Jamani asanteni! mi nlishindwa nimwambie nini! Naona mmenisaidia kumtolea uvivu :poa
 
Wewe unamalaria sugu wewe yan mkeo halali hme alafuunavunga ukidai unampenda hahaha embu malizia hiyo story labda kuna part umesahau!
 
We vp? Suala la Wasukuma limeingiaje tena hapa...Toa ushauri bana



We msukuma nini? maana siku mbili hizi kuna vitopic vilikuwa vinawaongelea wasukuma walivyomazoba wa kupenda, tena mwanamke mwenyewe kama mweupe ndio balaaa, hata unyayo utamlamba.
 
always i think about life not wife but i need her because she has child with me and she gives me joy when I'm sad. I gar no problem mr, you just tell me what to do?

Pole sana mkuu, hapo kuna mawili ambayo ni
1. Baada ya kufanya visa hivyo na wewe kumkalia kimya bila ya kumuuliza nafsi yake inamsuta vibaya mno hivyo anaona ni bora muachane tu.
2. Kama wadau walivyosema hapo juu ya kuwa kanogewa na penzi la huko nje.
Ushauri :
Kama kweli bado wampenda na unamuhitaji kaa nae chini mweleze jinsi gani unavyompenda na umeshamsamehe kwa hayo yote alokutendea na umwambie (kwa ukali) asirudie tena. Ila kama akikazania na akigoma kukusikiliza kabisa hayo uyasemayo, mpe talaka yake haraka sana kwani si riziki yako tena na atakuletea gonjwa la ukimwi.

 
Ni mwaka wa pili tangu nioe, ila mwezi wa 11 mwaka jana mke wangu kaanza mauzauza. Anatoka asubuhi kurudi ni saa sita au asubuhi ya siku inayofuyata. Kafanya hivyo kwa muda wa miezi miwili sasa na mimi sikutaka kumuuliza wala kumugasi kwa lolotelile saabu nampenda sana na ninafahamu yeye pia nimtu mzima so maswala ya kuulizana ulikuwa wapi au umelala wapi si ishu.

Ila jana kaniambia anataka taraka yake tena akiwa analia kumuuliza sababu, anasema eti si mjali kwa sababu alikuwa akilala nje na kuchelewa kurudi nyumbani akitegemea nitamuuliza na kumfokea lakini haikuwa hivyo so anahisi naeza nikawa simpendi au kama si hivyo, basi ninademu mwingine na anataka ujua msimamo wangu uko wapi? Mpaka sasa sijajua la kufanya nisaidieni ndugu zangu.
hv wewe akili zako zimetimia???Iko siku atakuja na huyo jamaa yake hapo akwambie umpishe chumba ndo utaelewa
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom