watauana wana ccm, na tena CCM wanachama wake walio wengi ni wanafiki, wanajifanya kumpaka matope ilihali wakijua na mtu anayekubalika!!.. Sasa wanajichanganya tu hao wameshajua jamaa akishika usukani patakuwa hapatoshi..
Sasa kama CCM imeshapoyeza mvuto, wanasubiri nini kuwaambia wananchi kuwa wameshindwa kuiongoza nchi?...
Sababu wanavuana magamba halafu wanaombana msaada kukipigia tena debe kiti kinachogombewa, hii ni ajabu kabisa!!...
Wanataka usawa haoo!.. Sijui nani kawaambia kuwa mwanamke miaka ya sasa huwa sawa na mwanaume, sijui ni nani huyoo!!.. Na ndio maana familia zinaharibika hazipati malezi bora bali zinaambulia borb malezi!!...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.